Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani. Naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha Dk 45 ITV Jumatatu hakiwi kama ilivyo ada.
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Katika ufunguzi rasmi wa Bonanza la Pemba Tourisport and Cultural Bonanza uliofanyika Kuukuu Kangani, viongozi mbalimbali walihudhuria tukio hili lenye malengo ya kukuza utalii na urithi wa...
1 Reactions
2 Replies
174 Views
Peleka mgonjwa wako hospital za umma utatozwa 50,000 ya kitanda kwa siku. Peleka mjamzito utaambiwa lipia 300,000 kabla ya kupokelewa na baada ya kujifungua (na hivyo amebahatika) kujifungua...
2 Reactions
2 Replies
160 Views
Wanasiasa wenzangu Baada ya kuhubiriwa Neno hili na Mwalimu Heaveness katika Ibada ya Morning Glory pale Azania Front Leo asubuhi nimeona nisiwe mchoyo niwapeni japo Aya tu mkasome wenyewe kwenye...
2 Reactions
3 Replies
150 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa "misplaced priorities" umekuwa tatizo sugu miongoni mwa Watanzania. Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa vipaumbele vya jamii yetu vimepotoka, mara...
2 Reactions
0 Replies
181 Views
Unakuta MTU Fulani Mashuhuri amefariki watu wanahangaika kupost Huko WhatsApp as if marehemu anaona. Taarifa ni Worldwide recognized na wewe una post eti RIP kwani mbona ndugu zenu wakifa hampost...
3 Reactions
2 Replies
195 Views
Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu...
10 Reactions
75 Replies
2K Views
Tuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?
5 Reactions
26 Replies
877 Views
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa...
2 Reactions
5 Replies
229 Views
Ewe mzazi ukiona mtoto wako mdogo anapinga uwepo wa mungu usimshangae au kumwadhibu kwa sababu hiyo ni dalili kuwa mtoto wako anajaji Kila kitu anachoambiwa na mtu mwingine hata kama anamuheshimu...
1 Reactions
0 Replies
223 Views
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua...
19 Reactions
192 Replies
6K Views
Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
3 Reactions
6 Replies
816 Views
Nitoe pongezi kwa ROBERT HERIEL nimekua msomaji wa maandiko yake mengi humu JF na nikiri wazi kua kijana huyu (naamini ni mwanaume kutokana na hulka na uandishi wake) analenga taswira chanya...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa...
1 Reactions
9 Replies
453 Views
Je umewahi kusikia milango 7 ya kuzimu ya Ziwa tanganyika? sio hadithi za kusikika ni vitu ambavyo vipo na vinatendeka hadi sasa, tutaileta mada hiyo siku zijazo, leo tunazungumzia Mizimu...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika tukio la kifo lililotokea majuzi kule Arusha likimuhusisha mwanamke(marehemu)na askari wa JWTZ. Wakati RPC wa Arusha anaongea na waandishi wa habari alitoa kauli ambayo alisema kuwa ktk...
9 Reactions
946 Replies
162K Views
Habari za saa hizi, wadau. Nimepata tatizo, nikasema nililete hapa JF kwa wadau ili nipate suluhu. Maana JF ni uwanja mpana, na kwangu mimi imeshanitatulia mambo mengi sana ambayo hata sikuomba...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
WEWE NDIO MFALME WA STORY YAKO HAPA DUNIANI : Hapa Duniani unavyoishi Tambua,wewe ndio kiongozi wa story yako😎 Na story yako inaandikwa na wewe mwenyewe maana,ndiye mwenye ufahamu wa halisi wa...
5 Reactions
7 Replies
506 Views
Utangulizi Miaka ya 2000s kipindi kile cha wapenzi wa mpira wa Miguu tunakumbukumbu za mchezaji wa Brasil wakati huo alikuwa ni Ronaldo kwakweli alikuwa ni mchezaji mzuri Sana na kwakufanya...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom