Hivi kwanini mjusi akikatwa mkia bado anatembea? Kuna nini? Kwa science view ana religious view?
Nahisi wengi hamjaelewa ninachomaanisha kaeni chini mtafakari ninachomaanisha muwe na jicho la...
Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia.
Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa...
Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, umekuja kurahisisha ila kuna Watendaji bado wanazingua
-Serikali ilikuja na huo Mfumo kurahisisha mambo mbalimbali yanayohusu Watumishi wa Umma...
Katika Kuonyesha kuwa Watoto wa Kizazi cha akina Kikwete na Magufuli huenda wakawa ni Werevu kuliko Kizazi chetu cha akina Nyerere na Mwinyi wameanza kuwa ' Wabunifu ' katika Kujipatia Pesa kwa '...
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na...
Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji
Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu...
Wasalaam.
Katika mizunguko yetu ya kujitafutia riziki, binadamu Kama viumbe wengine tunachangamana jamii kwa jamii nyingine Koo kwa Koo zingine.
Hivyo Basi tunakutana na changamoto za maswali...
Nasimama na maofisa wa NIDA waliopo katika maeneo mengi nchini. Madereva na wasaidizi wao wanaofanya safari kwenda nje ya nchi kupeleka mizigo wanapewa vitambulisho vya Tanzania na baadaye zile...
UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu...
Namshauri Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Mwenyekiti asitafute kisingizio kingine, anachotakiwa ni kujiuzulu kwa...
Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,
Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio...
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina...
Yaani ndugu akikwambia nna shida ya milinoni moja wewe mpe sh 30,000 au 50,000 mwambie nlikuwa na hii tu na sikudai ili kuepuka uadui au usimpe kabisa
Kwa sasa tulipofikia mtu akihitaji pesa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria...
Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema...
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)?
Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.