Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WATAALAMU wa Sekta ya Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiwa kazini wakitekeleza kikamilifu maelekezo ya Waziri Ndejembi kusimamia kikamilifu eneo la Ndachi ikiwemo...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili...
0 Reactions
6 Replies
283 Views
Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998 Matumizi yangu kwa...
17 Reactions
46 Replies
1K Views
Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa...
0 Reactions
12 Replies
742 Views
Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu Sasa unaweza...
3 Reactions
4 Replies
355 Views
Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI 🙏🏿 Mungu awalinde na...
18 Reactions
121 Replies
4K Views
RC mkoa wa Dar es Salaam na wahariri wa vyombo vya habari wanazungumza muda huu. Tukio limetokea na amekiri kuwa ni kweli limetokea lakini dhana wakati linatokea haikuwa kama ilivyochukuliwa...
8 Reactions
852 Replies
77K Views
1. Heshimu na Mthamini kila Mtu Bila Upendeleo Tunaona namna gani Tukio la kariakoo lilipotokea waliosaidia wenzao ni wale watu wa kawaida kabisa wa maisha ya kawaida na wala si matajiri au watu...
1 Reactions
3 Replies
252 Views
Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni. Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online Mbinu nitakazotumia 1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu. 2...
5 Reactions
19 Replies
871 Views
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16. Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv /...
1 Reactions
13 Replies
544 Views
Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe...
5 Reactions
2 Replies
299 Views
Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa...
1 Reactions
6 Replies
336 Views
Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa...
2 Reactions
1 Replies
209 Views
Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟‍♀️ Kuzaliwa Africa ni laana.
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu...
10 Reactions
82 Replies
4K Views
Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi. Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo! Naomba kutoa machache...
9 Reactions
15 Replies
638 Views
Back
Top Bottom