Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo? Naambiwa na mtu mzito (kigogo) Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewaomba wahitimu wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) kuitumia vema elimu walioipata kwa maslahi yao na Taifa kwa ujumla...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu...
3 Reactions
4 Replies
282 Views
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo...
35 Reactions
138 Replies
7K Views
Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania...
13 Reactions
65 Replies
3K Views
Tanganyika unapotea Watanganyika wamekuwa mashabiki Tanganyika imekuwa kama koloni Tanganyika hatuna hata bendera Tanganyika shule hazina madawati Tanganyika hospital hazina madawa Tanganyika...
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini...
1 Reactions
6 Replies
579 Views
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu...
2 Reactions
15 Replies
847 Views
Mmoja Kati ya vijana mashujaa katika uokoaji kwenye ajali ya ghorofa iliyoporomoka, Nassoro amesema jana kabla ya kuangukiwa na tofali mkononi ambalo lilikatisha harakati zake alifanikiwa kuokoa...
3 Reactions
8 Replies
749 Views
Hivi ni lazima ujilazimishe kuposti kitu Kila siku bwashee?
1 Reactions
12 Replies
438 Views
Na Mwandishi Wetu, Manyara. Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited ametoa zawadi ya Bajaji mpya kwa Dereva wa bajaji Abel Rajabu ambaye ameweka...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao...
2 Reactions
2 Replies
283 Views
Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7...
5 Reactions
4 Replies
708 Views
Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine...
2 Reactions
3 Replies
460 Views
Anonymous (f4a5)
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida...
19 Reactions
114 Replies
5K Views
Back
Top Bottom