Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato. Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi...
2 Reactions
8 Replies
310 Views
Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa...
2 Reactions
4 Replies
375 Views
Kwanza tulishangaa Kwenye Basi la Tashrif Mzee Kibao anatekwa Watu wametoa mimacho tu Tukashangaa tena Kiluvya Mangi Tarimo anapiga kelele kuwa anatekwa na kwenda Kuuawa lakini mienyeji ya pale...
6 Reactions
12 Replies
896 Views
Mahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi Kwenda Kwa wahaya Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako...
14 Reactions
48 Replies
1K Views
Mmetoka wote chuo, halafu unataka ukute kijana uliyekuwa unadate naye chuoni awe ana kila kitu kama nyumba, gari na kazi nzuri, mbona wewe huna? Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni...
12 Reactions
20 Replies
693 Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini bwana Godbless Lema amemrushia tuhuma nzito makamu mwenyekiti wa Chadema bara bwana Benson Kigaila kuwa amehusika kuandaa kundi la wahuni lililoenda...
2 Reactions
1 Replies
355 Views
UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)...
1 Reactions
74 Replies
2K Views
Jengo la ghorofa tatu linalomilikiwa na kada mwandamizi wa ccm ndugu Thomas ngawaiya linaanguka hivi niandikavyo, taarifa hizi nimepewa na mdau aliyepo kwenye tukio. Eneo la tukio ni magomeni...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda...
0 Reactions
5 Replies
291 Views
Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022 Kikosi cha uokoaji kimefika eneo la ajali kwa ajili ya kuwaokoa watu wanaosadikiwa...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
1 Reactions
8 Replies
352 Views
Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi...
6 Reactions
25 Replies
908 Views
Harakati za mtu mweusi zinaendelea Lazima tukubali bepari Trump ameshinda uchaguzi na wazungu wamepiga kura za hasira kwa mzungu wao Biden kukatazwa na kina Obama asigombee Wazungu...
9 Reactions
21 Replies
756 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema hadi kufikia sasa limeokoa takriban watu 46 waliofukiwa na ghorofa Kariakoo, na zoezi hilo bado linaendelea. == Kamanda wa Mkoa wa Kizimamoto Kinondoni...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Umasikini na ujinga ni jambo baya sana. Watu wa tiba mbadala wanatapeli sana watu. Ususani kwenye mambo wanayosema ni vipimo eti wana kipimo cha kupiga mwili mzima, na hicho kipimo mtu anashika...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Kwa wanaume wote, hii Kauli ya "Never go back to the woman who cheated on you" ni rahisi sana ikiwa kwa Mwenzako, ila isiwe kwako, ni ngumu ,mno! Kwenye mahusiano as a man ,unatakiwa uwe...
19 Reactions
140 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojielezaa, Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata. Ufuska wote kwa sasa umehamia...
14 Reactions
171 Replies
36K Views
Kati ya sehemu ambayo kusema kweli ni rahisi sana kufa baada ya kupata ajali basi tuseme ni nchini Tanzania. Kwa uzoefu wangu mara nyingi ajali inapotokea nchini Tanzania ni mara chache sana watu...
2 Reactions
13 Replies
454 Views
Back
Top Bottom