Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Sekta ya Maji kuhakikisha wananchi wa kata ya Mswaha, wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wananufaika vya kutosha na chanzo cha maji cha Mswaha...
1 Reactions
2 Replies
265 Views
Athanas Michael Masubo mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa mtaa wa Kashishi kata Nyamhongolo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti bibi wa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi nalia na Hawa CRDB BANK. Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na...
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa...
5 Reactions
14 Replies
487 Views
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka...
11 Reactions
187 Replies
8K Views
Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza...
13 Reactions
99 Replies
5K Views
Sisi watu Wasio waadilifu Wasiosoma Mapato na Matumizi Hao tunawapigia chapuo wawe Viongozi wa kumuongoza fukara na kumuinua kiuchumi. Watu wenye uwezo tunawawekea zengwe na kuwapachika sifa za...
3 Reactions
1 Replies
118 Views
Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia...
2 Reactions
7 Replies
369 Views
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
32 Reactions
114 Replies
6K Views
Katika utamaduni wa Kiafrika, kuheshimu viongozi ni jambo la muhimu. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la tabia ya kuwapongeza viongozi kupita kiasi, hata wakati...
0 Reactions
8 Replies
297 Views
😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
Sijui kama mmegundua hiki kitu. Mwezi huu kila mtu niliyewasiliana naye pamoja na mimi walisema wanaumwa mafua makali kabisa ya kuja na homa...hasa mimi sijaelewa hili ni janga la kitaifa au kuna...
12 Reactions
89 Replies
12K Views
Salaam , Shalom!! Angalizo: Jiepushe kuandika kejeli au upuuzi juu ya maneno ya unabii huu, maana maneno haya, yametoka katika kinywa Cha Mungu kupitia kinywa Cha Nabii wake, Ili kujiepusha na...
1 Reactions
4 Replies
600 Views
Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa...
2 Reactions
13 Replies
478 Views
Kuna wakati unaweza kuwa Bora Ila mstari wa mafanikio hauvuki Tafakari
1 Reactions
0 Replies
100 Views
Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
0 Reactions
5 Replies
402 Views
Naomba usiniambie haiwezekani, tafadhali! Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili. Ingekuwa ni...
7 Reactions
21 Replies
625 Views
Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje...
3 Reactions
4 Replies
916 Views
Back
Top Bottom