Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa...
Wanajamii,
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Mohamed Mpakanjia aliyekuwa mume wa marehemu Amina Chifupa Mpakanjia hatunaye tena.Amefia hospitali ya Lugalo.
Habari zaidi baadaye.
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi...
Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja...
UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni...
Isaya 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu;
Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu...
Yatupasa Sasa
Ili kuisaidia nchi ni lazima.kwanza kuhakikisha
Machawa
Wanafedheheka
Wakomeshwa utopokwaji bila kutumia akili .
Tukifaulu hapa
Wale Wajanja wajifichao
Wenye kuwatanguliza...
Nikaota ndotoni nikajikuta nasema:
Diwani,
Watu wanasema mengi juu yako. Eti wewe huna elimu ya kutosha kumudu uelewa wa mambo makubwa. Nakuomba, kwa kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa...
Wakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika...
Habari zenu wakuu,
Leo nataka niandike maneno kadhaa kwa vijana wenzangu tunaojitambua. Naandika kuhusu vijana wanao jitambua namanisha wale walio na uchu wa mafanikio na wenye ndoto ama malengo...
Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao...
Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) kimeingia kwenye mgogoro mkubwa na wapangaji wake zaidi ya 450 baada ya kuwapatia notisi ya kutakiwa kuhama katika nyumba zao ndani ya siku 60 hadi...
Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima"
wengine wamewahi kufumaniwa baada ya...
Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi...
Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika!
1. Wameshakamatwa?
2. Wako wapi?
3. Watakamatwa?
4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote?
PIA SOMA
- Dar: Inasemekana tukio hili la...
Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.