Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Shalom, Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote. Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari Wanajamii, Natafuta kampuni nzuri nataka kusafirisha kiparcel changu kije Tanzania nataka kampuni iliyonyooka isiyo na longolongo, maana Kuna kampuni mbili nlikwishatumia zilinilet down...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Wakubwa, moja ya malengo ya kurijenga bwawa ni ili tupateamo umeme wa bei nafuu na ahadi irikua ni umeme kushuka. Mradi ushaanza kazi vipi tutalajie umeme kushuka lin? Kiukweri kuna haja ili...
1 Reactions
21 Replies
744 Views
Kwa mujibu wa SGR kutoka Dar kwenda Mwanza na kigoma ni saa 7 tu Kwa mujibu wa reli yetu kwenda Mwanza na kigoma itagharimu saa 7 tu au saa 8 kizidi sana masaa 9 Maana treni si rinatembea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
𝙈𝙛𝙖𝙣𝙤: 𝗦𝘄𝗮𝗹𝗶: Ajira zimekuwa ngumu sana kwa watoto wetu wanaohitimu vyuo vikuu na vya kati, tunaomba serikali itengeneze nafasi za ajira. 𝗝𝗶𝗯𝘂: Waambieni vijana wajiajiri watumie elimu...
1 Reactions
3 Replies
223 Views
Nchi hii suala la kumjali Mteja ni kama halipo. Majuzi nilitaka kununua tiket za ndege kwa kutumia Master card kwa benki pendwa ya NMB sasa kila nilijaribu inagoma. Napiga customer care...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024. Akizungumza katika Baraza hilo la...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Wakuu Nimeshangazwa na namna MC wa msiba aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru alivyoomba waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya kutoa salamu zake. Katika...
2 Reactions
7 Replies
640 Views
Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
4 Reactions
8 Replies
892 Views
Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
1 Reactions
15 Replies
538 Views
Njooni huku Uswahili kwetu mkute Misiba ya Watani zangu Washamba tupu akina Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi ikitokea halafu mtuone Watu wa Mara (Musoma)...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
1 Reactions
18 Replies
718 Views
Kuna watu wengine wanajiita wasomi tena wa kiwango cha degrees na phD wanajitamba mtaani na huko vyuoni kwa usomi wao uchwara halafu usomi wao au kozi zao hazina faida yoyote ile zaidi ya...
3 Reactions
8 Replies
342 Views
Kuna lugha za mpito , za mitaani na vijiweni ambazo mtu msomi[aliye elimika] ni aibu na fedheha kusikika akitumia, moja wapo ni:- Ubaya Ubwela. Maokoto. Anguka Nayo Matikiti kudondokea. We...
1 Reactions
0 Replies
86 Views
WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Inashangaza sana Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini...
1 Reactions
3 Replies
219 Views
Mheshimiwa Sylvester Koka wa Jimbo la Kibaha Aishtaki Serikali Kuhusu Mgogoro wa Mali Katika hali ya kushangaza, Mheshimiwa Sylvester Koka, Mbunge wa Jimbo la Kibaha chini ya chama tawala cha...
0 Reactions
5 Replies
562 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya...
0 Reactions
2 Replies
182 Views
Back
Top Bottom