Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya...
Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero
Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli...
Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya...
Habari ya saa hizi wana jamvi, poleni kwa mgao wa umeme[emoji3].
Niende moja kwa moja kwenye mada
Katika pita pita kikiwa kikazi huko nyara nikawa nimekutana na mwanadada mmoja mrembo, kimoyo...
Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi.
Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma...
Kwema Wakuu!
Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma.
Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi...
Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za...
Sativa alisema alipelekwa Oyster Bay kwanza kabla ya mengine, kwenye mahojiano na Millard Ayo, mhudumu wa Hotel aliotaka kutekwa Tarimo anasema jamaa walipofika walisema kua wao ni askari wametoka...
Dogo kama huyu unaweza kuta miaka 7 nyuma baba yake alikuwa akifanya kazi shift mbili ili akidhi bills ila ona leo dogo anatupia mwilini kwake pesa ambayo robo tatu ya waafrika hawatakaa waishike...
Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini...
Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni...
Kwanza nilianza utafiti wangu usio rasmi katika maeneo ya Feri, Mbagala, Mabibo, Kimara, Manzese, Tandale, Mburahati, na maeneo mengine kadha wa kadha ya Uswahilini. Niligundua na kujua vingi...
Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi.
Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya...
Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza...
Habari wadau. Watumishi tuliohama mwaka Jana mwezi wa kumi na kupata vibali hatujahamishiwa taarifa zetu za mshahara mpaka Leo, Hali ambayo imepelekea kushindwa kuingia katika mfumo wa upimaji wa...
Katika pita pita zangu kwenye magroup ya whatsapp nimekutana na hii clip ikizungumzia hali ya vyoo eneo maarufu kama mafuvu eneo la hifadhi ya Ngorongoro barabara ya kuelekea serengeti, Naomba...
Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu.
Mzazi...
UNENE NI UZEMBE.!! Kwanza kabisa nitashukuru sana ukink Follow on twitter soon nitaanzisha twitter spaces kwa hizi topics FOLLOW HAPA
Kuna study ilifanyika mwaka 2022 na shirika linaitwa lancet...
Ninakumbuka jinsi hiyo habari ilivyopa vya vyombo vya habari mwaka 2018.
Peter Zakaria, mfanyabiashara wa mabasi na vituo vya mafuta, akiwa kwenye moja ya Sheli zake, alivamiwa na watu waliokuwa...
Silasi Ndosi (38) mkazi wa Shangarai wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha amekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya mikwaruzo sehemu za kifuani na mgongoni.
Mbali na mikwaruzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.