Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves!
Itasaidia sana kuepusha majoniz...
nilifungua akaunti ya mshahara katika benki tajwa miaka kadhaa iliyopita, mara kwa mara afisa mkopo akawa ananishawishi kuchukua mkopo, baada ya kuona kweli nija uhitaji wa mkopo ikabidi nianze...
Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi.
TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni...
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM.
Hapo...
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake.
Awali...
Eti mwanamke hapigwi, hata akikutukana kwa madharau mbele za watu, watu wanasema "mache ondoka zako." Mara mwingine asema mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa kwa upande wa kanga. Na wao ndiyo...
Jukwa la Jamiiforums linaweza kuboreshwa kwa kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) kuharakisha usimamizi wa maudhui na kuleta uzoefu mpya kwa mtumiaji. Hapa kuna baadhi ya njia za...
RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA)
Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9...
Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya bomba, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza na marekebisho yamefanyika.
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA)...
Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai kwamba Wananchi wa Kata ya Uyui iliyopo mkoa wa Tabora kuwa hawajawahi kupata maji ya Bomba tangu Nchi ipate uhuru,(DOKEZO - Inadaiwa Wananchi wa Kata ya Uyui...
Nafikiri katika technologia ambayo inatakiwa ifanyiwe maboresho ya haraka (kama bado) ni taa za barabarani kwa matumizi ya Highway kwani kwa sasa naona kama hazina manufaa stahiki.
Najaribu...
Kama una neno au maneno yenye kubeba hekima, ya kwako binafsi, ya Wanafalsafa (Philosophers), Watu mashuhuri (Celebrities), Wahenga (ancestors), Viongozi (Leaders) tupia hapa ili iwajenge na wengine
Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji .
Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania...
Wanajamvi Kata ya Uyui inapatikana kwenye Manispaa na Mkoa wa Tabora ambapo maajabu ya kata hiyo imekuwa ikikosa huduma muhimu kama Shule ya Kata, Zahanati, barabara pamoja na umeme kwa muda mrefu...
Mwenye kumfahamu
USSR
======
Zimekuwapo Picha na video zikisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikimuonesha mzee akiwa anasaidiwa kutembea huku kila mtu akieleza lake lakini wengi...
Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni...
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.