Habari za juma pili wana na binti za Mungu!
Ningependa kufahamu ni adhabu gani anastahili kupewa mtoto kwa kuzingatia kigezo cha umri. Hapa nitawagawa watoto katika makundi mawili;
0-6 years
6-17...
Biashara za Mtandaoni bhana zina Changamoto sana, tunajitahidi mno kuendana na Wakati lakini wafanya biashara wengi hawajui kwanini wanafanya biashara na ipi ni namna nzuri ya kufanya biashara na...
Katika historia mbali mbali zinaonyesha tangu zamani kwamba mwafrika amekuwa tabaka la chini katika kila jamii ya mtu mweupe aliyekua nae.
Kutokana na hayo shauku yangu kuu na maswali yangu ya ni...
Maombi n silaha
Kama alivyokuja nchini Rais wa Mozambique aliomba tuwaombee
Matokeo yametoka ya uchaguzi Gen z wako barabarani siku ya 14 leo
Ofisi zimefungwa
Biashara zimefungwa
Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya"
Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za...
Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba...
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.
Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha...
Wakati akichambua magazeti leo asubuhi katika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotosha kwamba SGR ni STIGLERS GORGE.
Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa...
Katika Bahari ya Pasifiki Kusini kuna makaburi ya mamia ya vyombo vya angani vilivyoanguka.
Sehemu hiyo inajulikana kama "Point Nemo" kwa lugha ya Kilatini ikimaanisha "Hakuna Mtu" au "No One"...
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?
Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa...
UFAFANUZI: NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KWA 40,000 NA 31,000 KWA KAWAIDA SIYO SAWA
UFAFANUZI ;
Nimepokea ufafanuzi kutoka kwa wadau ,NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni...
Habarini za usiku huu poleni na kazi,
Noambeni mawazo na ushuhuda wenu kwa waliowai kutumia whey protein mass tech
Nina mwili mwembamba sana, nataka kuanza mazoezi na kutumia iyo kitu japo...
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi.
Lakini pesa hii haikai kabisa, yaani hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shingapi kama pesa ya...
Habari za muda huu wanajamvi.
Katika harakati zetu za utafutaji Kuna mambo mengi hautokei, mengi hutuimarisha lakini hata kutuvunja moyo pia.
Naamini Kila anaepambana awe mwanaume/mwanamke...
Kwema wakuu,
Kesi ya Jamiiforums (Jamii Media) vs Oil Com ni moja ya kesi yenye mvuto wa aina yake hasa yale maswali ya mawakili wa JF na kivutio kikubwa zaidi ni majibu ya mashahidi wa upande wa...
Jambo Jambo?
Kama kuna mtu ameishi kahama na ni mtu wa starehe na muhudhuriaji mzuri wa kumbi za starehe maarufu na zisozo maarufu hapa kahama, Utakubaliiana na mimi au kufunguliwa akili na hiki...
Mimi ni miongoni mwa wakazi wa Kata ya Tura, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, ninaiomba Taasisi ya TANESCO kushughulikia suala la ukatikaji wa umeme kwani kumekuwa kikwazo kikubwa kwa biashara...
Dini ya kislam ni dini nzuri saana napenda wanavyomtii Mungu wao allah
Na mtume wao napenda wanavyoheshimu mila na desturi zao Ila nachukia sana kwa tabia zao
Tabia Za kujiona bora kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.