Na N'yadikwa - Safarini Rwanda
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi, hususan katika miji na maeneo yenye uhaba wa vyanzo vya maji vya kudumu.
Tatizo hili...
Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja...
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema anawafuatilia Kwa karibu sana Prof Kabudi na Prof Kitila na anajisikia Fahari Kwa ajili ya Wawili hao
Askofu Dr Malasusa amesema Hawa ndio Maprofesa...
Sometime Kuna mambo mabaya Twayafanya kwenye Familia, jamii au watu watuzungukao kwa sababu hatuna jambo la kufanya kwenye jamii. Jitahidi uwe na kitu unakifanya kuwa busy. Hasa kuongeza...
Cyanide ni kemikali yenye sumu kali inayoweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi baada ya kuvuta, kula, au kugusa. Mara nyingi cyanide hupatikana katika hali ya kimiminika katika fomu ya...
Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi...
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
Waziri ameandika...
Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo:
Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu...
Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme.
Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi...
Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa.
Na...
Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa.
Je, athari gani unazozijua?
Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza...
Waungwana Hamjambo?
Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko.
Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na...
Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa.
Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa...
Mhadhara (54)✍️
Bila shaka ni kweli, kwasababu sina hakika kama kuna tajiri aliyetamka kuwa utajiri wake umetokana na kurithi/biashara ya magendo/ufisadi/madawa ya kulevya/ujangili/dhuruma/ au...
Halloween ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa Oktoba 31. Asili yake inarejea kwenye sherehe za zamani za Ki-Celtic, hasa sherehe zilizojulikana kama Samhain, ambapo Wacelt (ambao walikuwa ni...
Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama.
Of course ni mara yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.