Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Tumeshuhudia kupitia mitandao ya kijamii ikitolewa taarifa ya kutaka kuupotosha umma kuhusiana na kifo cha Joseph Remigius, Miaka 52 mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera...
Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo.
Mana yake to me ni kuwa no meritocracy...
Habari za leo;
Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine.
Watu wengi na baadhi ya maandiko ya...
Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... 😡😡😡. NB:Mali yapatikana shambani
Nimeona wenyeji wa mkoa huu wanaanza kurudi mdogo mdogo kuwekeza mkoani kwao. Watu wanajenga Hadi hospital binafsi huko vijijini.
Kwa Sasa mkoa wa kagera una hospital zaidi ya 15 huku za serikali...
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni...
Naam Itifaki imezingingatiwa! twende kwenye mada👇
Kawaida ya Binadamu huweza kumpa thamani mwenzie kutokana na kile kinachoendelea katika maisha ya mtu huyo kwa wakati huo, hivyo basi inategemea...
Leo Novemba 2, 2024 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi iliyokutana leo katika Ukumbi wa Juma Duni Haji ulioko katika Jengo la Maalim Seif Makao Makuu ya...
Haki ya nani, utajiri una siri kubwa sana wakuu, imagine unapewa masharti ya aina hii, serious?
Kumbe hizi v8, harrier, prado, Toyota, jeep ndo zinapatikana kwa haya madudu?
Wizara ya fedha kwa Tanzania inachukuliwa kama wizara nyeti zaidi katika nchi yetu ya Tanzania hasa kwa kuwa husimamia mgawanyo wa fedha kwa matumizi yote ya serikali, pia inasimamia miradi na...
MHE. ENG. EZRA CHIWELESA, Mbunge wa Jimbo la Biharamlo Magharibi Anauliza Bungeni Jijini Dodoma kwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Bungeni tuliondoa kigezo cha JKT kwaajili ya ajira za Jeshi na...
Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc.
Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye...
Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka...
Ukoloni na Umisionari umechangia kustaarabisha na kuiunganisha Afrika kuliko sisi Waafrika wenyewe
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe...
Vijana 131 kati ya vijana 3,698 waliokuwa kwenye mafunzo ya awali ya askari polisi kwenye shule ya polisi Tanzania zamani ikiitwa CCP ,wameshindwa kuendelea na masomo baada ya kufukuzwa shuleni...
Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii...
Ni kitu cha ajabu na kushangaza, nina kimashine changu nyumbani ambacho kinatumia petrol, miaka yote nimekuwa nikinunua mafuta kwenye vituo
Siku za hivi karibuni nilienda kituo cha mafuta fulani...
Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la...
Habari ndugu zangu wanaJf
Natumaini mko salama na wenye afya njema. Ninaomba msaada wenu kwa jambo muhimu. Natafuta Kitabu cha Enock kilichoandikwa kwa Kiswahili. Ikiwa kuna yeyote kati yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.