Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi! Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96 Lakini...
6 Reactions
23 Replies
935 Views
Kuna sherehe zinaendelea nchi za wenzetu..maarifu kama Halloween. Wajuvi mtupe historia yake na zina maana gani.
4 Reactions
9 Replies
373 Views
Habari zenu jamani Bila kupoteza muda ,,, kumeanza kuchangamka, leo hii navyoandika dumu la mafuta ya kupika ya Alizeti huku nilipo limefikia sh 120,000/= ni wiki moja tu nyuma lilikuwa 105,000/=...
4 Reactions
13 Replies
710 Views
Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
0 Reactions
2 Replies
190 Views
Anonymous (bbfa)
Huduma kwa wateja ni kipengele muhimu katika kutoa huduma kwa kuwasaidia wateja kupata taarifa au utatuzi wa changamoto wanazokutana nazo. Lakini hapa nchini baadhi ya makampuni yanayotoa huduma...
2 Reactions
1 Replies
281 Views
Za asubuhi? Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu. Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya...
1 Reactions
4 Replies
184 Views
Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka. Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa...
7 Reactions
29 Replies
647 Views
Anonymous (8fb5)
Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala...
3 Reactions
4 Replies
473 Views
Uhakiki wa Picha kwa kutumia Google Image Search ni njia muhimu ya kubaini asili au maelezo zaidi kuhusu picha fulani. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua...
3 Reactions
28 Replies
687 Views
Katika dunia inayobadilika kwa kasi, jamii yetu ya Kitanzania inakabiliana na changamoto kubwa, na inatufanya tujiulize maswali ya kina kuhusu hali ya sasa na mustakabali wetu. Je, kweli...
4 Reactions
3 Replies
235 Views
Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa...
6 Reactions
37 Replies
966 Views
Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda...
0 Reactions
2 Replies
379 Views
Wakuu mnaitwa kuleta maoni yenu kulingana na siti za Mabasi vs za SGR Mchongoko 👇👇 https://x.com/mzeewamsitu/status/1852266650311008695?t=gW4rsdK0L3i5YALDfk0s5A&s=19 Daa Nimecheka sana...
0 Reactions
10 Replies
574 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi, amekemea vikali vitendo vya uhusiano ya jinsia moja miongoni mwa watumishi wa umma, akisisitiza...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana. Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana. Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Hebu jielezee jinsi ambavyo akili zako huwa unazitumia. Kila mtu ana akili pengine matumizi sahihi huwa yanapelekea uwezo wa akili kuongenzeka. Kama mimi ndie ningekuwa nimeulizwa swali kama hili...
2 Reactions
1 Replies
180 Views
Utangulizi lengo la nakala hii ni kutoa ushauri haswa kwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya namna gani tunaweza kupambana na vitendo vya ukatiri ulio shamiri kwa sasa katika...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Back
Top Bottom