Nikiwa kama mmoja wa wahitimu wa Chuo naomba kuwasilisha kuwa kwa observation yangu miaka minne tangu nipate elimu
Kwa Sasa Bila ujuzi wa kazi za mikono vijana lazima tutapata depression sana...
UCHUNGUZI wa Nipashe umebaini baadhi ya namba za simu zinazotumika kudhalilisha wakopaji hazina utambulisho wa Tanzania, yaani ZIP CODE +255.
Katika ufuatiliaji wake, mwandishi alibaini kuwa kwa...
Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾
Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama...
TAFSIRI YA MANENO YANAYOTOKA NA “KISWAHILI” KWA MUJIBU WA WASWAHILI WENYEWE.
“Saa ya Kiswahili”: Saa isiyozingatia muda wa miadi (ni kinyume cha, “saa ya kizungu” ambayo humaanisha, “Juu ya...
Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na...
Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika.
Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa...
Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani?
Walikosa neno lingine au basi kuna jambo...
Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma?
Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba...
When I met my future husband, I knew right away there was a something special about him.
Turns out he felt the same.
I lied eyes on him and my inner voice told me that by the grace of God, I was...
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno.
Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana...
Chama cha Wananchi CUF kimetoa wito kwa mamlaka inayosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuongeza muda wa wakuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.
Katika tamko ambalo wamelitoa...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Novemba 1, 2024 kilichofanyika Makao Makuu ya Wizara...
Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku.
Wakiwa katika...
Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo
Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za...
Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi...
Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo
Fedwaa
Mohammed Baraghaza
Rebecca Mulesi
Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto
Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu...
VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI.
Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef.
https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj...
Ndipo tulipofikia kama nchi watu wengi hasa dar ma barmaid fuatilia sana wengi wamesoma kama sio diploma basi wana degree.wengi sana kikubwa tu maisha yaendelee inawabidi wafanye hivyo.imagine mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.