Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili.
Wakati wa kampeni waandishi wa...
Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa...
Msitu wa miti unaouona leo ni matokeo ya miche iliyopandwa na kulindwa kwa miaka mingi hapo nyuma”
Maisha yako ya leo sio ya leo bali ya miaka mingi ya nyuma. Kile ulichokuwa unakifanya miaka...
Serikali ikiendelea kupiga hatua dhidi ya uboreshaji wa elimu Tanzania mkoa wa mwanza unakabiliwa na changamoto wanafunzi kukaa mda mrefu kwenye vituo vya magari kwa kukosa kipaumbele mda wa jioni...
Dini hizi mbili kuu zilizokuja na Majahazi ndio zinafanya mpaka sasa tunashindwa kusimama na kuwa wa moja.
Mfano: Baadhi ya maeneo hapa Tanzania wanachagua kiongozi kwa kuangalia Dini yake. upewi...
Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!
Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa...
BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA
2 samweli 1:18
(Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya.
Yoshua 10:13
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata...
Wakuu,
Pongezi sana JamiiForums kwa kutupazia sauti mpaka maji yameanza kutoka na presha ipo vizuri tofauti na siku tatu za nyuma kabla ya maji kukata kukabisa.
Nimeona Waziri amekuja kujibu na...
Leo hii Israel ina:
50% Middle Eastern Jews.
Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa...
Salaam Wakuu,
Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ukosefu wa Maji Mbezi Beach, Waziri wa Maji Ndugu Aweso kasema tatizo limeisha.
Akijibu Hoja hii ya Mdau, Waziri amesema;
Mdau,
Pole...
Ukweli huo unakuhusu wewe unae soma Uzi huu.
Miaka ya 90 ulipokuwa bado mtoto. Ulikuwa ukisikia redioni kibwagizo cha wimbo " MKE WANGU NI MLEVI ANANUKA GONGO".
Ulikuwaga una assume kibwagizo...
Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti.
NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected
Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why...
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa...
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama...
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto...
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo
> Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo...
Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka...
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha...
Ukifanya utafiti utagundua siku hizi watu wengi hawawapi watoto wao majina ya Kiasili kama vile ya kikabila au ya kiswahili.
Siku hizi majina mengi yanabaki kuwa ya kizungu kwa wakristo au ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.