Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure! Pia soma: √ -...
5 Reactions
82 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia. Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa...
39 Reactions
431 Replies
11K Views
Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani...
5 Reactions
14 Replies
785 Views
Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake...
1 Reactions
0 Replies
212 Views
7 Reactions
19 Replies
566 Views
Na Mwandishi Wetu Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amemaliza mgogoro wa Ardhi wa Familia ya Bw. Emmanuel Corneli Mbunda na Mzee Broma Michael Mtega...
1 Reactions
3 Replies
277 Views
Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
3 Reactions
9 Replies
816 Views
Let's learn advice from the heavenly books, especially the Qur'an, verse 1 of Surah An'am, says in this context that what was created was created for good, that is, it was not created without a...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Kesi ya madai namba 167/2021 iliyofunguliwa na Baghayo Saqware dhidi ya Hospitali ya Salaaman imetupiliwa mbali na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam baada ya kushindwa kuthibitisha...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala...
4 Reactions
5 Replies
348 Views
Kwa mujibu wa takwimu za road index za mwaka 2024, Tanzania ni Kati ya Nchi 20 Zenye Barabara Bora Afrika ikishika namba 9. Takwimu hizo zinaonesha Tanznaia imezipita Afrika Kusini, Algeria...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Habarini! Nina ndugu yangu yeye huwa anaongea mwenyewe usiku. Kwa mfano tumelala saa 6 na nusu lakini ikifika saa 7 kamili utamsikia anaropoka tena atasimama kabisa ataongea maneno utayaelewa...
5 Reactions
37 Replies
771 Views
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu. Wiki ya kwanza ya Januari na...
6 Reactions
55 Replies
14K Views
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo...
28 Reactions
98 Replies
3K Views
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa...
1 Reactions
4 Replies
417 Views
Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la Lessons from the stories Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa...
4 Reactions
3 Replies
346 Views
Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Back
Top Bottom