Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini, Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya...
1 Reactions
1 Replies
150 Views
"wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia" JIBU: ULITAKA WACHEKE "Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora" JIBU: WEWE HAPO ULIPO...
2 Reactions
6 Replies
288 Views
Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu...
1 Reactions
4 Replies
273 Views
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hawa mafundi waliosomea au waliopata ujuzi site na baadaye wakaamua kujiajiri wanaishi kwenye uhuru wa kifedha kuliko watumishi wengi wa umma. Ukiondoa watumishi wa umma wezi kundi lingine lote...
6 Reactions
10 Replies
597 Views
Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili: 1. Nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa...
21 Reactions
169 Replies
4K Views
KUVAA MAWIGI NA KUJIPAMBA NI SAHIHI KIBIBLIA? Ebu tuachane na hoja za ku-attack dhehebu au ku-attack mtu binafsi anazozitoa huyu jamaa,turudi kwenye hoja yake ya msingi Je Sahihi kibiblia, kwa...
2 Reactions
0 Replies
132 Views
Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es...
1 Reactions
8 Replies
280 Views
Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda...
1 Reactions
5 Replies
270 Views
Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa...
30 Reactions
225 Replies
22K Views
Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la...
0 Reactions
9 Replies
561 Views
Wasaalam, Hivi karibuni humu kumekuwa na ongezeko kubwa la nyuzi(threads) zenye mlengo wa kuwadhalilisha wahitimu wa vyuo vikuu (graduates) na wanafunzi waliopo vyuoni kwamba ni useless na hawana...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati...
0 Reactions
4 Replies
417 Views
Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa...
3 Reactions
2 Replies
590 Views
Tatizo kubwa la wa Tanzania karibia 80% bado wana amini katikika invisible sprite katika kusaka maisha au mafanikio kazini au kwenye biashara hata kwenye maradhi ya mwili bado watu wanategemea...
5 Reactions
30 Replies
713 Views
Kabla ya kufungua jalada 'File' lolote ulilopakua 'download' au kutumiwa, kumbuka ku-scan na programu ya Antivirus ili kuhakiki kama ni salama na halina virusi au 'malware'. Pia, kumbuka kupakua...
1 Reactions
0 Replies
191 Views
Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA! Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha! Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira...
26 Reactions
126 Replies
3K Views
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at...
9 Reactions
80 Replies
9K Views
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke...
11 Reactions
82 Replies
2K Views
Back
Top Bottom