Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Siku hizi maisha yamekuwa kama mashindano ya marathon – unakimbia tu bila pumziko. Mara unakuta kila siku umeamka mapema, unakimbizana na muda, ukirudi nyumbani usiku umechoka, na wakati mwingine...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara...
1 Reactions
2 Replies
289 Views
Kuna wataalamu wa afya wanasema kucha za vidole vya mkono zikiwa zimevimbiana hivi(clubbed) ujue wewe ni sawa mfu anayesubiriwa kufukiwa wakati wowote. Kwamba kimojwapo, kadhaa au vyote kati ya...
4 Reactions
10 Replies
540 Views
1. Fanya tathmnini ya kila uamuzi unaotaka kuufanya jua matokeo yake, faida na hasara pima uzito wa matokeo hayo kisha chagua njia sahihi ya kuamua kulingana na matokeo uliyoyapata. 2...
0 Reactions
4 Replies
333 Views
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa. Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa...
11 Reactions
133 Replies
3K Views
Maisha tabu sana, kweli Mimi Leo mtoto wa kiume natembeza mbogamboga na nyanya mitaani, na degree yangu kweli aisee. Life is full of surprise.
1 Reactions
10 Replies
302 Views
Wakati wa huduma ya Yesu, suala la utambulisho wa Yohana Mbatizaji lilikuwa na umuhimu mkubwa katika jamii ya Kiyahudi. Wengi walimwona Yohana kuwa ndiye Eliya aliyetabiriwa kuja kabla ya Masihi...
6 Reactions
11 Replies
543 Views
Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR?
5 Reactions
50 Replies
701 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji...
3 Reactions
19 Replies
656 Views
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa...
41 Reactions
78 Replies
3K Views
Habari za kuamka wakuu Kiufupi mm sio muandishi mzuri lakin kuna kitu nataka kuwasilisha baada ya kuishi huku Zanzibar. Tokea nimehamishwa kikazi kutoka mkoa X kuhamia Zanzibar kuna mambo...
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Tulizoea sana kuona nafasi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu ikitangazwa, taarifa pia zikiwekwa katika ukurasa wa Facebook wa Ikulu Mawasiliano na ukurasa wa Facebook wa Msemaji Mkuu wa...
2 Reactions
7 Replies
651 Views
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo; 1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
26 Reactions
128 Replies
6K Views
Kuwa Makini na Maneno Tunayotamka Mfano wa Yakobo na matamko dhidi ya familia yake Basi sasa, umetoka kwa sababu umetamani sana nyumba ya baba yako. Mbona basi umeiiba miungu yangu? Yakobo...
1 Reactions
9 Replies
464 Views
Mhadhara - 51: Inaleta ukakasi kwa mwanafunzi mdogo (kiumri) anayefanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi kuandika matusi kwenye karatasi la majibu (Answer sheets)...
3 Reactions
10 Replies
562 Views
Mtu mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Mkwabi Nyanda akishirikiana na Mkewe wanadaiwa kugushi nyaraka za hati ya nyumba ya Jirani yao eneo la Kinondoni Jijini Dar es salaam na kutumia hati feki...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Nifanye nini ninapoona maisha yangu yanaendelea kuwa magumu Wakati maisha yanapoendelea kuwa magumu, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua: Chambua hali yako: Tafakari kwa kina kuhusu sababu...
14 Reactions
26 Replies
4K Views
Na ni waziri wa mipango na uwekezaji, proffesor nzima huyu[emoji22]hivi huwa wanapewa wizara wakati majimboni mwao ni tabu? Huyu kitila mkumbo ni kama kalitelekeza jimbo lake la Ubungo. Barabara...
0 Reactions
7 Replies
338 Views
Back
Top Bottom