Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu Bado natafuta jina la mwimbaji asee umenigusa sana huu wimbo. https://youtu.be/402MIbgMyN8?si=dJuBXgPAtxXwOqkX
1 Reactions
6 Replies
273 Views
Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa...
3 Reactions
8 Replies
314 Views
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa kumeanza kuchanganya sana. Vuta ni kuvute imetokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Ibililo Kijiji Cha Nkunga Wilayani Rungwe. Picha...
1 Reactions
1 Replies
248 Views
Kuishi kwingi ni kuona mengi Watoto na vijana wanaambiwa, nyinyi mna mbio, lakini sisi wazee twazijua njia Ni hivi mjukuu wangu, upatapo chochote kitu, mega sehemu ndogo jipe raha, kama wewe ni...
8 Reactions
21 Replies
527 Views
Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi kata ya Sogea Mjini Tunduma imefungwa kwa muda usiojulikana katika kipindi hiki cha Uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za wagombea huku chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
1. Katika kampeni inayoendelea nchini ya kuhimiza matumizi ya nishati safi, viongozi na wadau mbalimbali wamejitokeza kutoa hisani ya mitungi (walao midogo) ya gesi kwa wananchi. LA KUFANYA: Kwa...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Mara nyingi nikiwa najisikia kuumwa sana, hospitalini majibu ya vipimo vya malaria vimeonesha -ve. Lakini vipimo kwenye maabara binafsi huonesha +ve. Miaka ya nyuma USA na Tanzania walianzisha...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Naomba kufahamishwa kwa anae jua,...watu wenye kuitwa singano,..au simba ni kabila gani?
0 Reactions
5 Replies
313 Views
Kutokana na kikao cha Wazee wa wastaafu na Mh Ruhoro kilichofanyika hivi karibuni nyumbani kwake Buhororo ambapo watumishi wastaafu walimtuma mbunge wao kuwapigania, Leo Mbunge wa Jimbo la Ngara...
0 Reactions
5 Replies
350 Views
Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa...
20 Reactions
137 Replies
7K Views
Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo" "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia...
1 Reactions
0 Replies
199 Views
Ni hivi, upwiru unavyozidi mtu una hangaika hangaika, nimekutana na m-shangazi mmoja hivi, sasa hapa na pale tukaelewana tukaweka miili yetu kitandani Siyo kesi, nikawa nasubiri ile sehemu ya...
7 Reactions
39 Replies
727 Views
Wengi wanakuwaga bums/bust Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida...
5 Reactions
40 Replies
758 Views
Wakuu salam, Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi. Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya...
1 Reactions
7 Replies
455 Views
Habari wakuu. Kuna mtu kanipa maelekezo kwamba kuna ofisi inasaidia watu kujaza form na kupigwa picha kwa akijili ya Bahati nasibu ya kwenda kuishi Marekani yaani Green card au Dv lottery...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ,,, natumaini wote mpo salama ,, wale walioamka wakiwa wagonjwa ninawaombeni duwa ,, inshallah mtakuwa salama,, na waliofikwa na misiba na majanga ya kila namna ninawaombeni...
1 Reactions
15 Replies
840 Views
Jamani hili jambo limeniuma sana, kuna viwanda viwili vipo sehemu moja, kiwanda cha maji na juice na kiwanda cha kuku vipo Kibaha Visiga karibu na makazi ya binadamu vimekuwa vikisababisha kero...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Nimeishi maeneo tofauti tofauti hapa Tanzania husani pwani hasa uzaramoni jambo la uchawi ni kawaida kabisa Na Kuna kipindi inafika watu wanakuja na coster wamejazana kuja kufanya ushirikina na...
32 Reactions
176 Replies
12K Views
Back
Top Bottom