Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Jumanne imekuwa siku ambayo Watu wengi wamekuwa na Mtazamo na Taarifa tofauti. Baadhi ya Wafanyabisha, Wafanyakazi wamekuwa wakifunga biashara na kazi zao siku hii. Je, wewe umewahi kusikia...
5 Reactions
16 Replies
927 Views
Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam. Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na...
26 Reactions
76 Replies
4K Views
Katika Makutano ya Morocco ambapo Barabara za Ally H.Mwinyi,Mwai Kibaki na Bagamoyo zinapo kutana na Makutano ya Mwenge. Inapofika mida ya jioni kuanzia saa 10, Trafiki huwa wana tabia za...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
DAWASA YAANZA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza...
0 Reactions
5 Replies
180 Views
Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Mimi Arusha niliona kama nipo Gongo la Mboto hivi. Eti ndani ya dakika 5 nimeumaliza mji wote! Hahaha ila wenyewe wakikuhadithia sasa, uongo mwingi sana, utasikia Geneva ya Africa! Machalii wa...
22 Reactions
523 Replies
63K Views
Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
HABARINI HUMU POLENI KWA MIHANGAIKO Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nina plan yakwenda kufanya kazi nchi zawenzetu kama vile canada, marekani, au hata uarabuni Ila sijui A B wala C kuhusu...
11 Reactions
95 Replies
2K Views
Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
1 Reactions
5 Replies
360 Views
Siku hizi baadhi ya wanawake wamekuwa wakiitumia mitandao ya kijamii kujitangazia biashara ya ukahaba wanayoifanya jambo linalohatarisha usalama wa maadili katika jamii yetu. KUpitia mtandao wake...
1 Reactions
13 Replies
516 Views
Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya...
14 Reactions
162 Replies
3K Views
Kuna yule jamaa yako, yeye anakupigia simu tu anapohitaji pesa, ukiona simu yake tu, unajiambia “anahiji pesa”, usipompatia anakasirika. Anakulalamikia sana. Yeye anajua una pesa na utampa...
5 Reactions
15 Replies
306 Views
Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln aliwahi kusema “Ukipewa Masaa sita ya kukata mti, tumia masaa manne kunoa shoka” kwa maneno mengine ni kuwa utatumia nguvu nyingi sana kuangusha mti ikiwa...
6 Reactions
5 Replies
492 Views
Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
1 Reactions
55 Replies
1K Views
Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi...
2 Reactions
26 Replies
770 Views
Kutokana na ukuaji wa teknolojia ni muhimu kwa watoto kuwa na elimu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao ili kuepuka kuwa wahanga wa matukio ya uhalifu mtandaoni. Mfundishe mwanao: 1. Aepuke...
2 Reactions
0 Replies
279 Views
Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Hivi karibuni Baraza la mitihani Tanzania limetoa matokeo ya darasa la Saba na katika taarifa yao ni kwamba, ufaulu umeongezeka. Hilo halikunipa shida isipokuwa waliofutiwa matokeo kwa sababu kuu...
1 Reactions
0 Replies
644 Views
Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa...
1 Reactions
12 Replies
624 Views
Back
Top Bottom