Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
46 Reactions
357 Replies
12K Views
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake. Uwepo wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 na Mkakati wa...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Hao ndio Watanzania, ukiwa mtumishi wa umma wanatarajia wakuone umepark ndinga kali kali uani mwako, uwe na mjengo wa haja , vimichango vya misiba na sherehe unatoa parefu hapo ewaaah watasema una...
6 Reactions
6 Replies
274 Views
Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza...
1 Reactions
2 Replies
180 Views
MOja kwa moja kwenye mada Tabia ya kwanza . Kumekuwa na tabia za wasanii kutumia infuence yao kusifia chama cha kisiasa au kiongozi flani wakati wa kampen (mfano wasanii hulipwa na chama X...
1 Reactions
5 Replies
268 Views
Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa...
3 Reactions
0 Replies
220 Views
Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si...
53 Reactions
317 Replies
22K Views
MWANAFUNZI Simon Joseph (15), aliyechaguliwa katika awamu ya pili kujiunga na kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Iyela, amejinyonga hadi kufa akipinga mama yake kuikimbia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Wanajamvi, Naona utandawazi unatupeleka kwenye mambo ya "daddy it's my right" au "mama, nataka kuondoka nyumbani." Kwa sasa, mzazi anapata kesi kwa kumuadhibu mtoto! Leo nawakumbusha...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea. Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye...
2 Reactions
2 Replies
169 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameelekeza timu ya Askari Uhifadhi 18 kuweka kambi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida kwa lengo la kukabiliana...
1 Reactions
2 Replies
160 Views
Je Umewahi Kusikia kuhusu Green Card ya Marekani? Je una ndoto za kuishi Marekani? Sikiliza habari njema sasa: Kila mwaka, Serikali ya Marekani inatoa nafasi 55,000 za watu kuhamia na kuishi...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
DUNIA ITAKUWA MWALIMU WAKO WA MWISHO UKIGOMA KUELEWA BINADAMU WENZAKO, TENA ITAKUFUNZA KWA MAUMIVU NA VITENDO Ukiambiwa utafunzwa na Dunia jua tayari wamekuona wewe ni mbishi zaidi ya kawaida...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa. Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila...
1 Reactions
4 Replies
333 Views
Watu wanapenda kusikia/kutazama/kuamini UONGO. 1)Mtu yupo radhi atumie muda wake mwingi kutazama tamthilia,sinema,series ,movies Ili hali anajua kabisa ni maigizo ni uongo sio ukweli. 2)Watu...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na...
0 Reactions
3 Replies
569 Views
Anonymous (6e2c)
Baraza Liliendesha mthiani ya uandikishaji na leseni ya UUGUZI NA UKUNGA kwa NGAZI ya Cheti, Diploma na Degree ya kwanza tarehe 23 august/2024 lakini mpaka muda huu ni zaidi ya MIEZI miwili na...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Mimi ni kijana Ambae Kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya maisha yangu Hadi kufikia hapa nilipo fikia nimelelewa na mababu zangu, na toka enzi hizo Hadi hivi sasa nathamini sana mawazo ya wazee na...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom