Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa...
10 Reactions
117 Replies
5K Views
Mbunge mstaafu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amesema Kimsingi yeye " HAJAIKIMBIA" Chadema ila Chadema ndio imemkimbia yeye Soma Pia: Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Ni neno gani la kiingereza au lugha nyingine ambayo tumezoea sana hadi tumesahau kwamba sio kiswahili kama Hello( Halo) tukipokea simu😃
5 Reactions
26 Replies
446 Views
Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka...
0 Reactions
7 Replies
283 Views
Kupitia QR Code wadukuzi wanaweza kutumia kukupeleka katika tovuti hatarishi lakini pia wanaweza kukusanya taarifa zako zilizopo kwenye kifaa chako na kuhatarisha usalama wako Mtandaoni. Kabla...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesifu ujasiri na uzalendo alionao Mwanassiasa Mkongwe Mzee Baraka Mohamed Shamte kwa kuweza kukwepa ghiliba na hadaa za upinzani na kuendelea kuunga mkono CCM. Pia...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna...
2 Reactions
360 Replies
105K Views
Leo nikiwa mishemishe nilipata kusikia mahojiano ya msanii mone centrozone akielezea kuhusu issue ya nafasi ya upendeleo, ambapo anafunguka na kusema mwaka 2017 alipata kuandika ngoma yake na...
2 Reactions
0 Replies
106 Views
Wagalatia 3:28 ,29 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. Na kama ninyi ni wa Kristo, basi...
2 Reactions
20 Replies
420 Views
Je, wajua kwa nini Mh Rashid Kawawa alivaa nguo hizi?
1 Reactions
19 Replies
575 Views
Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza...
1 Reactions
1 Replies
197 Views
Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Tamko...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa. Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo...
12 Reactions
85 Replies
3K Views
Haya maisha hayahitaji unyonge hata kidogo. Itafikia hatua utahisi ya kuwa wewe ni fungu la kukosa siku zote. Kuna watu ambao watawahi kupata pesa, kazi ama mafanikio ya aina yeyote ile, mapema...
2 Reactions
2 Replies
202 Views
Hatma ya kesi inayomhusu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji inatarajiwa kujulikana...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi...
5 Reactions
25 Replies
774 Views
Ipi tafsiri sahihi ya heshima na tafsiri ya uoga? Naombeni majibu
2 Reactions
3 Replies
168 Views
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa...
24 Reactions
369 Replies
30K Views
MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA? Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024...
1 Reactions
5 Replies
816 Views
Habari wapendwa! Katika maisha kila kitu kinashortcut! Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut! Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut! Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima...
10 Reactions
21 Replies
720 Views
Back
Top Bottom