Baadhi ya wanawake waliojitosa kuwania uongozi wa kisiasa, wamesema walikumbana na udhalilishaji mtandaoni, wakiitaja mitandao ya kijamii kuwa "sumu kwa wanawake kisiasa"
Kwa mujibu wa Taasisi ya...
Napata sana shida kwene kupata kodi ya wapangaji wanasumbua yaan kifupi hawajali mtu anakaa hata miezi mitatu halet kodi na bado anapiga chenga na kuhama hataki!
Kodi inatoka kwa kusumbuana sana...
Ningepewa nafasi ya kuhudumu kama mwajiri ningebadilisha taratibu zote za UTUMISHI wa UMMA kutoka kuwa ajira za kudumu mpaka mkataba wa mwaka mmoja.
Naamini hakuna anaependa kutumika maisha yake...
Kinachotokea Siku ile mtu anavyochukuliwa MSUKULE'
'Contents' hizi hazina lengo baya, ispokua ni elimu ya uzinduzi kuamsha bongo za watu na kufahamu changamoto mpya wanazopitia watu katika...
Habari zenu wakuu!?
Natuamini mko pouwa kama unaumwa au una smongo wa mawazo basi polee mkuu, yanamuda tu yatakuwa poua.
Niende kwenye maada. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ambapo kwa kuona na...
Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena...
Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe...
Wakuu habari zenu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na...
Benki ya Dunia, imemchagua Mtanzania, Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania...
Taswira ya moja ya Jengo la Kituo cha Afya cha Murongo wilayani Kyerwa.
Na Dotto Mwaibale, Kyerwa Kagera.
Kutokufahamu Lugha ya Kiswahili imekuwa ni changamoto kubwa ya upatikanaji wa matibabu...
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi...
Mradi wa pamoja wa mafuta kati ya Tanzania na Uganda, maarufu kama Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekumbwa na changamoto za kifedha. Mradi huu, unaotekelezwa kwa...
,🥲🥲
Mimi ninaishi kata ya Saranga, kwa Mpapula jijini Dar es Salaam. Jamani huku tunahangaika maji hakuna, hatujaona maji mwaka umeisha sasa, mabomba hayatoi maji tunaishi kwa taabu sana , Kuna...
Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada...
Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile...
Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma...
Serikali inapaswa kuangazia kwa makini hali ya mji wa Moshi, uliopo mkoani Kilimanjaro, ambao umekuwa ukivunja rekodi nchini Tanzania. Kuitwa mji wa kwanza kuingiza malori yenye uzito wa tani 80...
Jeshi la polisi linamshikiria dereva wa basi lenye namba za usajili T622 EFG linalofanya safari zake kutoka jijini Mwanza kwenda Morogoro kwa kosa la kukutwa na leseni ya pikipiki ili hali akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.