Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC...
1 Reactions
0 Replies
260 Views
Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!! Mada husika👇🏾 Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili...
7 Reactions
76 Replies
8K Views
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
1 Reactions
3 Replies
213 Views
Habari ya Asubuhi wana jamii, Leo Mh. Waziri mkuu anatarajia kufanya ziara mbeya mjini/mbeya city. Moja kati ya kero kubwa hapa mbeya mjini ni bajaji ambazo hazina utaratibu maalumu kama vyombo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Anonymous (cbaa)
Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
  • Closed
Nawasalimu ndugu zangu. Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake. Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META. Mange...
20 Reactions
130 Replies
8K Views
Kwema Wakuu! Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya...
16 Reactions
117 Replies
7K Views
Enzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda. **Zamani raha sana
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Jamani naombeni ushauli niache kufatilia namba yangu ya NIDA au nikaze moyo toka nimemaliza usajili mwaka 2018 mpaka leo namba yangu haijatoka, ivi shida huwa ni nini?
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Neno kigugumizi limetokana na kitenzi kugugumia ambayo ni shida ya baadhi ya watu katika kusema na inakadiriwa asilimia 5-6 inawapata watoto huku asilimia moja ikiwapata watu wazima, wanaume...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi...
4 Reactions
11 Replies
657 Views
Wakazi wa Ununio wamesema Kisomo Cha Tanga huenda kikawasaidia kupata barabara yao inayotokea Mnara wa TIGO hadi Makaburi ya Mji Mkuu wa Ununio Wananchi wamedai kuzibwa kwa ukuta kwa barabara...
1 Reactions
2 Replies
199 Views
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu habari za majukumu, Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Hichi kitendo kimeambatana na Ukatili.
9 Reactions
268 Replies
18K Views
Habari za asubuhi Wanajamvi leo Nina jambo na mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa kuweka mkazo mkubwa kwenye mgawanyo...
1 Reactions
4 Replies
369 Views
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Ni kawaida Miaka ya zamani miezi kama hii ya maandalizi ya kilimo safu za mlima Mbeya/Loreza kuteketea Kwa moto. Ni Albeit Chalamila aliyeweza kukomesha tabia hiyo mbaya ya kuanzisha moto kwa...
4 Reactions
10 Replies
751 Views
Back
Top Bottom