Huu ndiyo ukweli mchungu, wale waliojiongeza kwenda kusomea ualimu daraja la 111A, unesi na ukunga pamoja na fani zingine zikiwemo upolisi kimtindo mikeka yao imetiki means walichukua kidogo ila...
Hili siyo mara yangu ya kwanza kushauri, utaratibu huu utawawezesha vijana kujiongeza zaidi. Kwa Sasa maisha ya mtaani ni magumu sana tofauti na kipindi kile graduate anamaliza chuo na kupangiwa...
Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi.
Mikoa...
Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu.
Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu
Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni...
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke...
Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui...
Will due respect
Naomba uongozi wa JF utafakari tena uamuzi wa kuifuta mada husika niliyoiweka hivi karibuni
Ni mada inayohusika na uhai wa watu .. Kwenye dunia hii hakuna kitu cha thamani kama...
Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni...
Inawezekana kabisa kijana aliyefuata boda yake kwasunga. Hatunaye tena kama yule Bin Saatisa alyewahi kuambiwa atakutana na chato akiwa mwenyewe pekeyake
Huyu naye kwa taarifa rasmi kabisa...
Utawala wowote dhalimu unaoelekea ukingoni huwa kama mbogo aliyejerujiwa.. Hufanya mambo ya kikatili na ya kutisha sana ikiwemo
Kuteka wapinzani wake
Kuwatesa
Kuwajeruhi
Kuwatia ulemavu
Kuwaua...
Katika eneo kati ya Urusi na Israeli
Kuna sheikh hapa Tanzania anatoa sana hotuba ya kuifagilia Urusi, akiipa sifa kana kwamba Urusi ni ukhalifa katika Uislamu. Waumini wanaomsikiliza, wanajawa...
Inawezekanaje huduma za;
1. Kupiga simu zisiwepi
2. Internet isiwepo
3. Sms ziwepo
4. Mpesa hakuna nk?
Kwanini msiboreshe kwa zamu?
Mnajua kuwa simu;
1. Huokoa maisha?
2. Internet ni ofisi za...
Tukio la video ya mtoto akiadhibiwa vikali na mama yake, lililopostiwa na mwanahabari Tweve Devota kupitia mtandao wa X, limezua taharuki mtandaoni. Mama huyo, anayeishi Mbezi Mwisho, Dar es...
Yatima wengi hawana msaada kutokana na ubinafsi wa wengi kudhamini watoto wao wa kuwazaa pekee kama unaweza kufunga basi fanya hivyo kwa ajili yao ili mungu awafanyie njia.
Walio kata tamaa na...
Hodi hodi Tabora. Mulé mpola?! Wabéja.
Haya, tuendelee sasa kuzindua miradi ya maendeleo na kuyatangaza maendeleo ya Tabora.
Ikumbukwe, mkoa wa Tabora tayari umeshapokea takribani Trilioni 1.1...
Katika Mathayo 11:16-19, Yesu anatoa mfano wa kizazi cha wakati wake, akisema: “Nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaoketi sokoni, wakawapigia wenzao kelele, wakisema...
Tatizo la ajali za barabarani linazidi kuitafuna taifa la Tanzania na kuwaacha wananchi wakiwa kwenye misiba mizito ya wapendwa wao, pamoja na na simanzi zisizoisha, ni jambo hilo ndilo...
Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha...
Vijana wengi wanaelekea kukata tamaa na kusema hakuna ajira. Lakini ukweli ni kwamba, ajira zipo—mtandaoni kuna ajira nyingi zinazosubiri kuchukuliwa. Teknolojia ya habari na mawasiliano imefungua...
Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.