Habari za asubuhi wanajukwaa.
Nikisikiliza habari za magazetini leo nimesikia eti makamu wa Rais Dk. Mpango amewataka wanaofanya utafiti watafiti tatizo la ajira kwa vijana limeanzia wapi.
Kama...
Wasalaam Wakuu,
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo
1. Hakuna anayekujali.
2. Sio mkeo.
3. Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5. Sio wenzako...
Naombe kuuliza.
Kwenye akaunti yangu ya kuombea mkopo imeandikwa total amount mil3.5
Ada ya kozi ni mil 1.3
Direct University Costs (Payable to the University) 47000.
Costs payable directly to...
WATU watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000.
Washtakiwa katika kesi...
Kheri Kwenu mabibi na mabwana.
Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa.
Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako...
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 kumebainika kasoro ambazo zinalengo la kuharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya wanaoandikisha kujaza majina ambayo wahusika hawapo na...
Hivi karibuni Mbunge wetu wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba alikuja kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa...
Hello Great thinker wa JF,
Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?
Na vipi kuna...
Inashangaza sana kumuona mtu wa Zanzibar akimbagua mtu wa bara.
Zanzibar ni moja ya visiwa vinavyounda nchi ya Tanzania. Zanzibar ina utawala wake unaounda serikali ya Zanzibar.
Kiasili Zanzibar...
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.
Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole...
Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi 😔
1. Maisha sio vita
2. Maisha ndio haya haya tu
3. Pesa hainunui furaha.
4. Utajiri ni dhambi.
5. Kila tajiri ana ushirikina...
miongoni mwa motivation kubwa za binadamu ambazo husababisha afanye kitu chochote kwa ujumla zinaitwa RICE
R= inasimama kama Reward ikimaanisha kitu unachopewa au aidiwa akifanya kitu, hivi ni...
“Hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.” –Rostam Abdulrasul Aziz, June 26 2023...
Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB...
Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi.
Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi...
Kuna suala linalonitatiza na kuleta kero kwa wananchi kama mimi, nalo ni wimbi la mabango yanayoendelea kuwekwa kila kona yakimsifu Rais, kiongozi wa chama tawala, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.