Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Bernard Arnault, mmiliki wa kampuni ya LVMH, amempita utajiri mwanzilishi na mmiliki wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg, na kuwa mtu wa tatu kwa utajiri zaidi duniani. Hii inatokana na...
0 Reactions
4 Replies
490 Views
Kampuni ya bakhresa imewekeza $ milioni 100 sawa na Tshs bilioni 255 kujenga kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kupikia kwenye mji wa kibiashara wa Blantyre nchini Malawi. Kiwanda hicho tayari...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko...
9 Reactions
104 Replies
3K Views
Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.
2 Reactions
23 Replies
614 Views
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa...
18 Reactions
107 Replies
6K Views
Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo...
1 Reactions
19 Replies
464 Views
Kwema? Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika Mimi binafsi nina umri wa...
14 Reactions
255 Replies
6K Views
Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na...
16 Reactions
149 Replies
6K Views
Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
habari waungwana, naomba kuelekezwa namna ya kufanya hiyo transaction kutoa ton coins zangu kuja bank account kwamwneye kujua
1 Reactions
7 Replies
335 Views
Dodoma, Tanzania – Katika hatua muhimu ya kuendeleza juhudi za serikali za kuhakikisha kuwa raia wote wanapata bima ya afya, kampuni ya bima Tanzania ya Britam ilitoa bima ya afya bure katika...
1 Reactions
1 Replies
371 Views
Habarini jirani zangu, Sio vibaya nikiwasanua kuhusu hii dawa ya wadudu wanaosumbua ndani ya nyumba zetu. Jamani sifanyii promotion ila nimeitumia hii dawa na nimeikubali, sioni kuanzia sisimizi...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii dawa ya vidonge kwa binadamu kutibu maumivu inashangaza sana kwa namna inavyoua panya bila kubakiza hata mmoja. Siku za karibuni nilijikuta nimevamiwa na panya zaidi ya 20 na kuzaliana ndani...
10 Reactions
43 Replies
7K Views
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa...
14 Reactions
45 Replies
2K Views
Wanajamvi ngoja nilibwage, Barabara inayotoka Kwenye mataa jirani na Stendi ya Mabasi kuelelekea Uwanja wa Alhasan Mwinyi ni imeharibika kwa kuwa na mashimo jambo ambalo linaleta adha kwa...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Leo tutumie platform hii kutambua, kuthamini na kuheshimu majasho ya mama zetu katika kutuandalia maisha yetu ya leo. Binafsi naheshimu na kutambua thamani za Baba zetu katika kutufanya kuwa...
5 Reactions
8 Replies
198 Views
Habari wanajamvi, Ukiachia mbali kupigia kura 😆🤤 Hivi kitambulisho cha kupigia kura kinaweza kuwa na matumizi mengine ya ziada? Au niache kujisumbua kwenda kupanga foleni bure!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom