Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona...
4 Reactions
13 Replies
502 Views
ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Katika Mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window - TeIW) kwa awamu ya kwanza ambao...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Wakuu mimi nikijana mpambanaji kiukweli mm ni Mtanzania halisi kabisa. Kwa sasa niko huku 🇰🇪 Kenya ila maisha haya kwa Ruto sijaridhika wazee mm kwa haraka nimefikiria Botswana 🇧🇼 Kwa sababu ni...
1 Reactions
12 Replies
377 Views
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
UNÀTAKA KUWA NA MVUTO KIJAMII, KISIASA AU KIUCHUMI ILI UPATE PESA AU MAFANIKIO? FANYA MAMBO HAYA KISHA NJOO UNISHUKURU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli MVUTO, mvutano. Kani au nguvu ya Uvutano...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Anna Atanas Paul ameitaka jamii kuelewa kuwa mtoto wa kike ana haki za kushiriki michezo yote bila ya kudhalilishwa. Ameyama hayo...
0 Reactions
2 Replies
271 Views
Mpimbwe, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja na ujenzi wa barabara...
1 Reactions
5 Replies
288 Views
Yeeeerrrrreeeeh! Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko. Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya...
2 Reactions
0 Replies
198 Views
Bado sijajua kama Taifa tunakwama wapi au sijajua ni nani atakuja kutusaidia?,Je tuwarudishe wakoloni watuonyeshe namna njema ya kuishi katika ustaarabu au Nini kifanyike? Binafsi nimekuwa...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
Wakuu, Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta...
1 Reactions
14 Replies
568 Views
Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila...
1 Reactions
3 Replies
166 Views
Salama kwenu ndugu zangu!! Nikawa najiwazisha hapa hasa juu ya mambo /hadithi zilivyo nyingi za kutishana hasa kuhusu kesho ambayo kimsingi haipo. Binafsi nimekuwa Katika maadili ya ki-kristo...
2 Reactions
11 Replies
598 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni...
2 Reactions
15 Replies
588 Views
Hapa naongea katika Roho Kuna watu wanakusanya watoto wa maskini kutoka kijijini na kuwatumikisha kwa kuuza vitu vidogo vidogo kama mayai ya kuchemshwa, kandoro au miwa. Mtu anakuwa na vijana 5...
16 Reactions
39 Replies
833 Views
Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
SEREKALI ya Mapindizi ya Zanzibar imesema inaendelea na juhudi mbali mbali za kudhibiti athari za mabadiliko ya tabianchi ili kuhakikisha nchi inakua salama. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Licha ya Serikali kuweka bayana kwa kutenga zaidi Sh. bilioni 17.79 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, lakini nasikitika kwamba kuna jambo muhimu bado...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
3 Reactions
30 Replies
851 Views
Back
Top Bottom