Naposema wanaume warefu nazungumzia mtu mwenye urefu au kimo cha kuanzia futi 6 na kuendelea.
Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake...
DSTV will die the same death as Nokia, Compaq, Kodak, and GM if they fail to change with changing times. More users are opting to streaming live matches as internet connectivity becomes faster...
Habar za muda Huu wana jamvi leo mida ya saa sita mchana ilinipigia Namba hii 0749935122 ambayo ni ya huyo tapeli alijitambulisha kwangu anaitwa Mr Elias alipata taarifa kuwa Mimi ni fund...
Dodoma ni moja ya Jiji chafu nchini, uchafu umezagaa hasa maeneo ya Mjini ambapo kuna Mkuu Wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, then kuna hali hii ya Uchafuzi wa Mazingira tena ni urefu wa kilometa mbili...
Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM.
Kwa sababu mabomba yamefikia wachache...
Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari.
Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame...
Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa...
Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.
Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na...
Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi.
Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo...
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa...
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
Serikali leo imetangaza kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Takwimu zilizotolewa na waziri siku ya...
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai.
Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni...
Uzi maalumu wa kuwakumbusha DAWASA maeneo ambayo kwa hapa Dar maji ya bomba la dawasa bado ni ndoto tangia tupate uhuru.
Cha kufanya kila mdau ataje maeneo anayojua kuna changamoto ya maji bado...
Anything can happen labda baadae tunaweza kuwa na kiongozi mkubwa kwenye taifa hili ambae mzazi wake alikuwa dereva pikipiki maarufu kama bodaboda.
Kama huna ndugu bodaboda basi una jirani ama...
Kwanza naomba niseme kwamba kwa wale waamini na washika dini ya Mungu mmoja hili somo kwa namna fulani linachagiza kufumua ufahamu wetu pale tunapoishia kwenye kumuamini Mungu tu....naomba...
Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi.
Rangi asili ya binadamu ni nyeupe. Kisayansi binadamu tunashare ancestor na sokwe mtu. Ukiangalia...
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
1. Vimal Shah: He...
Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania...
Ebana wanajamvi inakuwaje!
Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.