Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna mambo madogo tu yanatushinda kuyatatua, sio kwamba hatuwezi, hapana. Ila kuna dhana tofauti tulizonazo zinatujenga na zinaendelea kutujenga hivi tulivyo. Nikwambie tu, hebu futa maneno uoga...
4 Reactions
12 Replies
313 Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
74 Reactions
241 Replies
11K Views
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa...
5 Reactions
74 Replies
2K Views
Tulikabidhiwa jezi ya huu mchezo unaoitwa maisha, kabla hata hatujawa tayari kuingia uwanjani. Wala hatukuwa na uhakika wa kwenda kubadilisha matokeo. Ghafla tu, tukaambiwa baba amechoka, Mama...
4 Reactions
18 Replies
385 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi...
2 Reactions
19 Replies
623 Views
Juzi nimeagiza tshirts 6 za size za VVV (hizi sio size halisia) Nikamwambia muuzaji hakikisha zote zinakuwa vile vile kama nilivyoelekeza, jamaa "ooh usijali boss kuwa na amani" Kupokea mzigo...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
13 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani...
9 Reactions
44 Replies
884 Views
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi. Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani. Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya...
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Mba kichwani ni hali inayosababishwa na kupevuka kwa seli za ngozi ya kichwa kwa kasi na kuunda magamba meupe au ya njano. Ingawa kuna sababu nyingi zinazochangia tatizo hili, msongo wa mawazo...
2 Reactions
1 Replies
586 Views
Septemba 16 2024 Dunia ilipata taarifa kuwa Sean Combs ametiwa nguvuni na mamlaka na kuzua gumzo kubwa sana katika vyombo vya habari duniani, siku chache baadaye chombo cha habari cha TMZ...
2 Reactions
15 Replies
614 Views
Watu wanaoamini katika mambo makubwa wanaitwa wabunifu wa maono makubwa au watu wenye maono makubwa. Hawa ni watu ambao wanaamini na kutafuta kutimiza malengo ya juu au malengo makubwa ambayo...
4 Reactions
5 Replies
555 Views
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi. Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na...
88 Reactions
307 Replies
44K Views
Waisraeli wa kweli ni weusi na Yesu halisi ni mweusi na hii ni kutokana na Biblia. Ukisoma Ayubu 30:30 , Ayubu anasema ngozi yake ni nyeusi, na kama Ayubu ni mweusi na alikuwa muisraeli na...
5 Reactions
39 Replies
12K Views
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Oktoba, 2024 amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu Habari ya Majukumu, leo Jioni kuna nyuki wamekuja na kutua kwenye mti ambao uko nyumban kwangu wa kivuli, hapa najiuliza namna gani naweza kuwatoa kwa usalama wa familia yangu, maana nina...
1 Reactions
7 Replies
562 Views
Watu wa Arusha na kujifanya wanajua kila kitu kumbe hamna kitu Utakua mtu anasema "oya chalii, hii ni chuga, mara chuga darara" na maneno mengi ya kipuuzi na ya kishamba tu. Mimi kiukweli ni wa...
11 Reactions
41 Replies
801 Views
Kuna muda bwana unaweza ukabanwa na mambo magumu katika maisha, na ukashindwa njia zote hatimae ukaamua kumuomba Mungu moja kwa moja na akakujibu? Mimi kuna matukio kadhaa aisee naamini moja kwa...
62 Reactions
533 Replies
57K Views
Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli...
19 Reactions
109 Replies
5K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Back
Top Bottom