Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tanzania imeorodheshwa miongoni mwa Nchi 10 ambazo Uchumi wake utakua zaidi na kusaidia Bara la Afrika yaani Sub-Saharan Afrika. Taarifa iliyotpkewa na WB imesema Uchumi wa Afrika utapungua...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi. Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza. Hapa...
29 Reactions
47 Replies
1K Views
Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa...
3 Reactions
11 Replies
645 Views
Manispaa ya Morogoro eneo la mjini mzunguko (roundabout) ilipokuwa stand ya zamani zinapoanzia barabara za: 1. Boma Road 2. Korogwe Road 3. Old Dar es Salaam 4. Barabara iendayo Soko kuu la...
3 Reactions
14 Replies
543 Views
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Elite class kubwa ya Tanzania wame chukua family plan kama sehemu muhimu katika maisha yao, na family plan kwao ni kua na watoto 1 kwa 3 ili aweze kuwalea vizuri kwa kuwapa best basic necessities...
9 Reactions
44 Replies
886 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
256 Views
Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha...
1 Reactions
2 Replies
223 Views
Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli...
4 Reactions
4 Replies
612 Views
Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya...
2 Reactions
2 Replies
585 Views
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke...
43 Reactions
292 Replies
5K Views
Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama...
0 Reactions
3 Replies
306 Views
SERIKALI KUANZA MAHOJIANO RASMI NA WAKIMBIZI - NAIBU WAZIRI DANIEL SILLO Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza mahojiano ya kina na wakimbizi wa Burundi wanaoishi nchini ifikapo 2025. Mahojiano...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
------------ MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato. Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato...
4 Reactions
10 Replies
798 Views
Wakuu mko poa? Nimefanya mtihani wa IQ mtandaoni na nilitarajia kupata matokeo yanayoonyesha namba ya kiwango changu cha IQ. Hata hivyo, badala ya namba hizo, nimeshangazwa kupata matokeo...
2 Reactions
8 Replies
351 Views
Nawasalimu popote mlipo Tuje kwenye hoja Nimejaribu kutafakari kitu Mnaweza kuwa na watu mnafahamiana katika hizi harakati zetu za kusanga tonge🫰, gafla ikitokea mwana kutusua unaanza kuona...
1 Reactions
5 Replies
151 Views
Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao. Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika...
2 Reactions
10 Replies
454 Views
Back
Top Bottom