Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu. Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana. Wahudumu...
1 Reactions
12 Replies
711 Views
Separatus Fella Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wapya 80 ambao wameajiriwa hivi karibuni ikiwa ni Mpango unaoandaliwa na Idara ya Utawala na...
1 Reactions
2 Replies
191 Views
Nianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi. HALI YA HEWA Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua...
56 Reactions
195 Replies
6K Views
Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation. Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana...
17 Reactions
73 Replies
2K Views
https://www.facebook.com/reel/2671061956435185 https://www.facebook.com/reel/3717708941813341
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Habari wanaJF, Najua kwenye safari zetu za kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa usafiri wa basi ni mambo mengi ambayo watu hukumbana nayo aidha kama dereva au abiria. Hivyo nawakaribisha...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote. Mimi naomba mamlaka husika hawa...
3 Reactions
6 Replies
381 Views
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu Hadi analalamika wasanii kutumia jina la...
27 Reactions
179 Replies
6K Views
Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana...
2 Reactions
4 Replies
376 Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Makazi Duniani (...
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia. Kodi ya chumba ni bei ghani kule?? Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni?? Utafutaji wa kule...
0 Reactions
6 Replies
253 Views
Sasa yapata miezi sita ofisi za Bolt zimefungwa bila taarifa na hawajulikani waliopo, na Wanafanya kazi na na kuendelea kupokea commission kutoka Kwa madreva na Abiria na Mamlaka husika zipo...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Mtu nimejiandikisha tayari. Lakini natumiwa sms kutwa mara 3 ..? Hebu wekeni utaratibu wa kujitoa kwenye huduma hii INAKERA.
2 Reactions
5 Replies
152 Views
Habari! Sarafu mtandao, almaarufu cryptocurrency, ni aina ya teknolojia mtandao inayokua kwa kasi ya ajabu. Hii imevutia wengi wa vijana kuvutiwa nayo na hivyo kutafuta wafundishaji, yaani...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Watanzania fursa zinazidi kufunguka duniani. Mikutano mkubwa hiyo tayari. Ni nyie kucheza na fursa Tu. Asanteni
2 Reactions
8 Replies
288 Views
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa. Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na...
29 Reactions
760 Replies
97K Views
Kutokana na hali inavyoendelea Duniani ipo siku hayawi hayawi yatakua. Nimeangalia movie nyingi za world war II pia mauji ya Rwanda. Ukweli familia nyingi hazikujiandaa walidhani ni uzushi...
1 Reactions
8 Replies
269 Views
Anonymous (2169)
Siku hizi kumekuwa na shida sana ya mitandao ya simu na inaleta kero na hasara kubwa sana kwa sisi watumiaji. Hasa mtandao wa Vodacom unakuta huwezi kupiga simu wala kutuma meseji. Sasa najiuliza...
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Back
Top Bottom