Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi.
Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko...
Kwenye jamii za watu hapakosi viongozi wapenda misifa wasiojali kuthamini bidii na akili za wasaidizi wao, nimewiwa kutoa tahadhari kwa Paul Makonda a.k.a DAB Kolomije, imekuwa kama utamaduni...
TEMESA Pangani hawa-scan tiketi, askari anazikusanya tu! Kuna harufu ya upigaji! Nilipita asubuhi nilivyorudi jioni ticket niliyopewa ilikuwa inaonyesha imekatwa saa moja asubuhi! kuna mazingira...
Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia...
Zimbabwe
Alhamisi iliyopita, wezi waliiba dola milioni 4.4 kutoka tawi la benki ya Ecobank huko Bulawayo katika tukio ambalo linadaiwa kuwa wizi mkubwa zaidi wa benki katika historia ya Zimbabwe...
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana...
Tarehe 28 September 1999 redio SAFM (South Africa) ilitangaza kifo cha Mwl Nyerere.
Tena wakarudia kutangaza 11 October 1999 kuwa Mwl ametutoka huko Uingereza, Tena wakatangaza 14/10-1999...
Kuna uwezekano mkubwa Baba Mtakatifu aketiye Kitini pake Mtume Petro atakayemrithi Papa Francisco atakuwa ni Mwafrika
Na uwezekano mkubwa Baba Mtakatifu aketiye Kitini pake Mtume Petro akatoka...
Kama ilivyo kuongea ni tiba kwa muongeaji basi hata kusikiliza nako ni muhimu kwa kusaidia wengine na kujisaidia wewe pia
Kuongea na kusikiliza ni mambo ambayo yote yana uzito wake na yana...
Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.
Kwenye account yangu sija...
Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki?
Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu...
Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu.
Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu.
Naamini...
Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango...
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, leo Oktoba 12, 2024 amezindua kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa wilayani Moshi, katika...
Wengi wamesoma vitabu vyake hasa kwenye fasihi ya Kiingereza, Proffesor Wole Soyinka toka jamii ya Wayoruba nchi Marekani. Professor huyu ni maarufu duniani. Amesema yeye haamni Mungu Wakristo na...
Kuna utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wanaodai kwamba ni mawakala wa makampuni ya simu na kwamba wanaweza wakakupatia bando za Internet kwa bei nafuu kama huyu tapeli anayeitwa "Maulidi...
Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa.
Profesa Shao ambaye ni...
MAKALA YA WAZI KWA WATU WOTE
Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha nduu kata ya kijota tarafa ya Mtinko, mkoa wa Singida . Nimezaliwa miaka 25 iliyopita. Katika familia yetu mimi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.