Hii inatokans na kuajiri vilaza wasiojua hata kidogo nini cha kutoongea hewani. Hiki kipindi ni cha kueneza chuki kwa mataifa haya jirani. TCRA toeni onyo...
Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus.
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza...
Kuanzia leo tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini kukosa huduma...
Habari wanabodi
Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi.
Utafiti wangu nilioufanya...
Zamani hii route ilikuwa na Mabasi ya Wachagga tu akina Air Msae, Dar Express, Machame line, Lang'ata, Kilimanjaro, The Big Mayai, nk lakini Wengi wamepotea na waliobaki akina Kilimanjaro na Dar...
Kuna zile nyakati bhana… ndoa inazingua mno mno hadi unajiona wewe si kitu mbele za watu! Hata ukiwa kwa daladala unahisi wale abiria wenzio wote wanajua kile unapitia na ni kama wanakuzomea😂 Ni...
Mwezi huu oktoba ni mwezi wa huduma kwa wateja, ndani ya wiki hii zimeshuhudiwa taasisi nyingi zikiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Huduma kwa Wateja ni sherehe ya kimataifa ya umuhimu wa...
Tunafaham mila na desturi zetu wakati flani ziliwapa majina mabaya aina flani ya wanyama, wadudu, ndege, samaki hata mimea.
Bundi anaonekana ni ndege asiyefaa kabisa mwenye mikosi na kila aina ya...
Wakuu, tangu na tangu hizi ajira ntakazoziorodhesha zilikuwa za watoto wa maskini sababu huji kuona mtoto mbunge, waziri au kibompa fulani mwanae anazifanya isipokuwa kazi kama uhasibu, uinjinia...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Jibu la RC wa Dar, Paul Makonda kwa Mjasiriamali na Mdau wa Maendeleo, Carol Ndosi leo kupitia ukurusa wa Twitter baada ya kumuandikia barua linasema mengi.
Inavyoonekana, kuna mgongano wa...
Habari wakuu.
Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka.
Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto...
Mrejeasho.
Hawa wapuuzi wameifungua lisaa moja baada ya hii post.
Tunasafari ndefu kama Watanzia kwa hizi taasisi zetu ambazo full admns ni Watanzania wenyewe. Hatuko committed kwa kazi zetu...
Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo.
Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia...
Huko Tanganyika kila mtu ni machinga, hata wasio na ujuzi wa kibiashara nao unawakuta wanachuuza malapa mitandaoni.
Tangu Watanganyika waambiwe kujiari basi imekuwa fujo mno, mara huyu anauza...
Na THABIT MADAI, ZANZIBAR
BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna...
DUWASA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI AWESO
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imeanza uchimbaji wa kisima eneo la Kisasa-Mwangaza Jiji Dodoma baada ya maagizo ya Waziri wa...
Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora.
Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu.
Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini...
Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo...
Mambo vipi Wakuu!
Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.