Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako. Lakini pia dunia iko katika kipindi...
5 Reactions
5 Replies
257 Views
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara. Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo. Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa). Cha ajabu katika...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa...
3 Reactions
8 Replies
614 Views
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje...
0 Reactions
3 Replies
482 Views
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je...
4 Reactions
30 Replies
340 Views
Nikiwa pembezoni mwa kingo za shimo refu (valley), ghafla nikawa naona kwa uoni hafifu, nikashuhudia shimo kama limekuwa sawa (level) na sehemu niliyokuwa nimesimama. Kwa kuhofia kuangukia...
3 Reactions
14 Replies
269 Views
Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si...
80 Reactions
1K Replies
325K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo...
1 Reactions
16 Replies
573 Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa...
13 Reactions
85 Replies
6K Views
Yaani huyu mnyama ni balaa akiingia bandani ndani ya sekunde anamaliza kuua kuku zaidi ya kumi. Ana vidole vinne tuu,ni mkubwa kuliko paka na kama ni mkubwa anazaidi ya kilo 5 kama kakomaa. Ana...
6 Reactions
21 Replies
765 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857...
3 Reactions
30 Replies
961 Views
Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
3 Reactions
7 Replies
468 Views
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa. Mada husika iko hivi. Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo. Sasa...
0 Reactions
71 Replies
2K Views
Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako? Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango Vipi wewe mwenzangu...
18 Reactions
401 Replies
44K Views
Wakati wewe mtanzania ukiwa unaendelea na mchakato wa kuwahamisha watoto wako kutoka kwenye shule za kiingereza ( English Mediums) na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba, wacha nikuambie kwanini...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Meja Jenerali Charles Mbuge amestaafu na kuagwa jeshini baada ya kulitumikia jeshi kwa miaka 38. Enzi ya utumishi wake jeshini, aliwahi kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa na baadae kushika majukumu...
17 Reactions
158 Replies
8K Views
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati Unaona...
11 Reactions
58 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
0 Reactions
17 Replies
829 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Uongozi wa Clouds Media Group kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram wametangaza kusitisha kilele cha tamasha la Tigo Fiesta lililokuwa lifanyike leo Jumamosi...
13 Reactions
566 Replies
79K Views
Back
Top Bottom