Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari wana jamvi?kwa zaidi ya mwaka na nusu nmekua mteja wa kampuni hii ya ving'amuzi. Wakati naanza kutumia huduma zao niliipenda huduma yao ila kadri siku zinavyosonga ndivyo nimegundua kua...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Hii ni mara ya pili kujitokeza jukwaani nikiilalamikia kampuni hii kongwe ya ving'amuzi hapa nchini baada ya DSTV Nimekua mteja wao tangu mwezi machi 2017 lakini kila kukicha nazidi kuboreka na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwenda mikoa mbalimbali na kuna maudhui mbalimbali (muziki na filamu) yanarushwa kwenye tv za basi. Vyombo hivi vya usafiri husafirisha watu wa umri tofauti...
6 Reactions
7 Replies
328 Views
Naibu wa Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa ameipongeza Benki kuu ya Tanzania (BOT) Kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wa madini na wadau mbalimbali kwenye...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu. Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu...
13 Reactions
62 Replies
2K Views
1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni. 3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura 4...
13 Reactions
321 Replies
20K Views
Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!?? Binafsi huwa narudisha Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia...
4 Reactions
46 Replies
764 Views
Israeli inaonekana kupoteza akili yake ya pamoja. Wanaitishia Iran waziwazi kama "jibu" lao kwa Iran kurusha makombora kwao. Shida ni kwamba, kurushwa kwa makombora ya Iran ILIKUWA ni "jibu" kwa...
3 Reactions
6 Replies
564 Views
Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimu na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni...
20 Reactions
63 Replies
2K Views
Kutokana na Kampeni za Mazingira na kuhakikisha nchi haziendelei kuharibu Dunia yetu, Kuna kiwango fulani ambacho kimewekwa katika viwanda (hususan katika nchi zinazotoa / zalisha sana Carbon)...
1 Reactions
6 Replies
194 Views
Umeshaomba vitu vya kwenda nje ya nchi mara kadhaa ili haujawahi hata kuitwa kwenye interview japo unajiona kabisa vigezo vingi ulikuwa navyo? Haya acha kuamini uchawi ukaanza kutafuta waganga...
4 Reactions
8 Replies
477 Views
Imegundulika sasa karibia asilimia 90% ya maradhi ya mwanadamu yanatokana na afya ya akili, ingawa kiuhalisia tukiumwa tunapata changamoto katika miili yetu lakini chanzo chake ni afya ya akili...
8 Reactions
17 Replies
483 Views
Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei. Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako. Tuwe Kama wazungu sio kila...
9 Reactions
62 Replies
11K Views
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa...
2 Reactions
6 Replies
513 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana. Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV zinavyofanya...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana. Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu...
18 Reactions
110 Replies
4K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana. Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV...
1 Reactions
1 Replies
225 Views
Umepoteza kwa uzembe wako mwenyewe. Usitunge tunge sentensi zozote. Je, wewe una muda gani hujaibiwa au kupoteza kitu katika pombe?
1 Reactions
1 Replies
74 Views
Huku pwani ya waja leo waondoka leo inanyesha CATS AND DOGS baaDa ya mimea kukauka
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Back
Top Bottom