Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya Musoma mara baada ya kutoka kuweka jiwe la...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu. Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifuatilia taarifa ya Mkoa wa Mara na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkoa huo...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Mojawapo ya methali za Kiswaheli ni hii hapa zimwi likujualo halikuli likakwisha.. Ni methali inayopingana kwa namna fulani na ile isemayo kumkoma nyani giladi hii si ya Kiswahili ni ya kabila la...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi. Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi. Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi. Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM...
2 Reactions
6 Replies
610 Views
Anonymous (271f)
Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti. Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
Ni vyema sana mtu kupima na kulijua group lako la damu kwa mfano mimi nilikuwa nahangaika na magonjwa ya ngono kumbe mimi ni AB yaani nipo sensitive sana na magonjwa. Kwa mfano, Yaani ukipiga...
8 Reactions
24 Replies
959 Views
Wanawake wa Tanzania, je, umejipanga kugombea nafasi yoyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu ujao? Ni sababu zipi zinakuchochea kugombea au zinakuzuia? Ni kweli Wanawake...
0 Reactions
5 Replies
611 Views
Anonymous (3c92)
Sisi wakazi wa Chanika Taliani kuelekea PSSSF, barabara zetu zimekuwa mbovu sana. Mkandarasi alikuja na kuchakachua kupitisha grader kwa juu tu, ametimua vumbi na kukimbia badala ya kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Nikiwa na mradi wa kujenga hospital huko Kilosa, mkoani morogoro, miaka kadhaa nyuma, nilipata kusikia taarifa hii ikizangazaa maeneo ya wodi ya wazazi, kuwa shujaa Daktari aliyeitwa ELIUD...
2 Reactions
6 Replies
615 Views
Jana tarehe 28.9.2024 pale mkoani Ruvuma mh. Rais amesema yeye hajawahi kuua mtu labda sisimizi. Nimefurahi mno kusikia hivyo na imekua bora zaidi umekataa ukatili na unyama huo kwa kinywa chako...
4 Reactions
16 Replies
518 Views
USA- Siasa, lifestyle, dini, race Uingereza-Siasa, lifestyle Kenya-Siasa, lifestyle, makabila Nigeria- Mapenzi/Nyash Uganda-Chakula, mapenzi Tanzania- Mpira, Mapenzi, makabila India-...
2 Reactions
1 Replies
198 Views
Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibi wa RITA...
12 Reactions
88 Replies
6K Views
Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini...
11 Reactions
138 Replies
15K Views
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la...
5 Reactions
246 Replies
24K Views
Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu. Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili. JF...
4 Reactions
18 Replies
649 Views
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili: 1) Kiasi cha akili (IQ) 2) Kiwango cha Kihisia (EQ) 3) Kiwango cha Kijamii (SQ) 4) Kiwango cha Shida (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ)...
2 Reactions
3 Replies
411 Views
Back
Top Bottom