Salaam...
Jana ni ile juzi, leo ni ile jana uliyokuwa unaisubiria ili uamue au ufanye jambo fulani.
Uanze biashara, uache kazi moja kutafuta kazi nyingine, uache fursa moja kukimbilia fursa...
Nakumbuka;
Nikiwa mdogo mdogo hivi kuna "BIBI" mmoja alifariki pale kijijini, yule bibi alikuwa anasadikika ni mshirikina "mchawi".
Wakati ulipowadia wa kukaribia kufariki, yaani anakaribia...
Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care.
Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya...
Wakuu,
Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami...
Iran akimpiga Israel jua Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italy lazima tu yataingilia Kumsaidia na Israeli nae akimpiga (kwa kulipiza kisasi) Iran piga ua Urusi, China, Turkey na Korea...
Naomba JamiiCheck watatusaidia kuiverify hiyo video, ila kutokana na sababu za kimaadili sitaipost hiyo video hapa, ila kwa atakayeihitaji asisite kuja PM.
Video hiyo inamuonesha Jay-Z akiwa na...
Katika zama hizi za kidigitali, taarifa zetu binafsi zimezagaa katika majukwaa mengi, na mara nyingi hatuna uwezo wa kuzifuta kabisa taarifa hizi zisionekane na umma. Taarifa hizi zinashikiliwa na...
Kutokana na sababu kadhaa ikiwemo kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi tumeshuhudia baadhi ya sehemu Tanzania zikipata hadhi ya kuwa mikoa kama Njombe, Katavi, Geita, na Simiyu.
Licha ya Dar...
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama.
Soma pia: Wananchi jimbo la...
WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA
Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza...
Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi;
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati...
Wadau nikiwa napitia katika mitandao ya kijamii, nimeona na kujifunza sehemu fulani maana iliyopo nyuma ya muundo wa herufi na namba tofauti zinazosomeka katika makasha makubwa ya kusafirishia...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu...
1. Jaribu kutafuta kuona kuna taarifa gani zinazokuhusu katika 'search engines' mbalimbali ikiwa ni za kweli au zinadanganya.
2. Iwapo utakutana na taarifa zisizo sahihi, za kupotosha, au...
Katika shirika linaloshangaza ni dawasco maji wanatoa siku moja au mbili kwa week lakin bado nako kumewashinda je wangetakiwa kutoa maji 24/7 kama wafanyavyo miji mingine
Napokaa hapa maji mara...
Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea...
ANDREW ARSHAVIN: JASUSI WA URUSI ALIYEJIFICHA KWENYE MCHEZO WA SOKA. (1)
Unamkumbuka Andrew Arshavin?!
Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani...
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali...
Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu.
1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu...
Kuandaa unaanza na mbegu za kahawa aina ya Arabica kutoka Thailand. Baada ya kuchumwa Tembo hulishwa matunda hayo ya kahawa, maarufu kama "cherries," yakichanganywa na chakula chao cha kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.