Ufafanuzi kuhusu changamoto ya Majisafi Kisasa - Dodoma
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inakiri na kutambua changamoto iliyopo ya hali ya upatikanaji wa huduma ya...
Baadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa.
Mojawapo ya Maneno hayo ni kama “Hutaweza...
Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao...
Naitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi
Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza
Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio...
Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo...
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu...
Nimeshasikia mara nyingi baadhi ya watu wakidai kuwa hakuna Mungu wala uchawi. Hata pale mambo yasiyo ya kawaida yalipotokea na kuhusianishwa na Mungu au Shetani, bado waliendelea kudai kuwa ni...
Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame.
Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims...
Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo.
Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa...
Mkuu wa Magereza Ukonga, Josephat Mkama pamoja na Afisa Tehama, Sibuti Nyabuya, wapandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma document na uhujumu uchumi, na kuongoza genge la uhalifu...
Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila...
MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga...
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu tathmini na uthamini ufanyike lakini bado malipo ya fidia hayajafanyika na hakuna taarifa yoyote.
Wakazi wanashindwa kufanya maendeleo yoyote kwenye maeneo yao...
Habarini wanajukwaa...
Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida.
Kama wananchi hatupingani...
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.
Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko.
Hivi...
Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001.
Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi...
Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano:
Chama cha siasa. Mwana siasa...
Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la...
2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.