Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
https://www.youtube.com/live/xHd53cbsmoA?si=Rm1YGprC9EkHdvry Zoezi la Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Idara ya Uhamiaji Nchini imethibitisha kuwa Kaimu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Wallace John Karia ambaye ni Mgombea Urais wa TFF katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
1 Reactions
70 Replies
17K Views
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au...
20 Reactions
209 Replies
7K Views
Mambo vipi wadau! Nataka nitumie jukwaa hili kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba ni dhahiri kila mmoja wetu anatanani kuwa mtu mwema Hakuna mlevi anaependa kulala mitaroni kwa ulevi au...
2 Reactions
5 Replies
288 Views
Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu). Ugonjwa huu huwapata binadamu...
2 Reactions
13 Replies
482 Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa jukwaani ihusuyo punyeto…wengi wamekuwa wakieleza kwa hisia namna wanavo teseka na janga hili,wengine wamekuwa wakilibeza kwa kuwa wamekata...
17 Reactions
134 Replies
7K Views
Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi,inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi...
4 Reactions
20 Replies
811 Views
Umewahi kujiuliza hivyo kwa nini wahindi na waarabu [ wenye asili hiyo ] ndio matajiri wengi wakubwa nchini licha ya jamii yao kuwa ndogo kulinganisha na jamii ya watu weusi ?
3 Reactions
5 Replies
564 Views
Nisahihi kwa hospitali kutoa Taarifa za wagonjwa wanaowafanyia matibabu kwa kubainisha Majina Yao, umri na mahali wanapoishi ? Soma taarifa hii iliyochapishwa na EATV #HABARI Hospitali ya Rufaa...
0 Reactions
17 Replies
686 Views
Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana...
28 Reactions
48 Replies
3K Views
KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23 —— Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna vyombo vya habari nchi hii vinashabikia uvunjifu wa amani, wanashabikia habari hasi dhidi ya serikali. Je ni kwamba wana ajenda ya siri, wanatumiwa na vibaraka kuchafua taswira ya nchi yetu...
-3 Reactions
84 Replies
4K Views
Anonymous (2035)
Soko hili linakadiliwa kujengwa kwa zaidi ya Milioni 500Tsh. Lina muda sasa vibanda vyake havifanyi kazi iliyokusudiwa kutokana na kuwa na miundombinu isiyo rafiki kwa ufanyaji biashara, hivyo...
1 Reactions
4 Replies
363 Views
Ipo siku utatolewa kwenye Friji kama Bia, acha kiburi jali watu!📌
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Katika kuadhimisha siku ya moyo Duniani September 29/9/2024, Taasisi ya Moyo Jakaya kikwete(JKCI) imesema kuwa magonjwa ya moyo ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa yakisababisha vifo vingi...
2 Reactions
20 Replies
979 Views
Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya...
2 Reactions
21 Replies
659 Views
Kuna kakitabu kalitungwa na mtu anaitwa Mapunda(Kwa sasa ni marehemu kama sijakosea) nadhani pia alikuwa mchoraji kwenye gazeti la Sani miaka hiyooo ya 90. Kwenye kitabu hicho cha hadithi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
NEMC huonekana mara kadhaa wakitoza faini viwanda/taasisi zinazoharibu mazingira. Je hamnaga miradi mingine ya kuboresha mazingira? Kwanini mmekazana na faini tu? MAPENDEKEZO: Anzeni hata mradi...
16 Reactions
68 Replies
8K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached...
0 Reactions
7 Replies
448 Views
Hakuna nchi yenye hakimiliki ya Satellite technology duniani isipokuwa Israel yaani hata leo Tanzania wakitaka kufunga sattelite kwenye anga yake ya taifa lazima aombe kibali kutoka Israel, Adui...
2 Reactions
5 Replies
273 Views
Back
Top Bottom