Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
9 Reactions
30 Replies
785 Views
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu...
5 Reactions
8 Replies
516 Views
Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya...
0 Reactions
3 Replies
295 Views
Anonymous (60b9)
Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Anonymous (4c4e)
Kuna huu mfumo wa ESS (Employee Self Service Portal) unaotumiwa na Watumishi wa Umma Nchini, ni moj ya mifumo ambayo imepunguza usumbufu mkubwa na kurahisisha mambo mengi yanayohusu utendaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anonymous (85bc)
Mimi ni mama, nimekuwa nilikiguswa sana na watu hawa wanaonizunguka ambao wamekosa Masada kwa ndugu jamii pamoja na serikali kwa ujumla. Wa kwanza ni binti mwenye umri wa miaka 30 na kitu...
9 Reactions
32 Replies
716 Views
Nafikiri watu timamu tunakubaliana kwamba @ummymwalimu alikuwa ni ‘mzigo mzito’ katika wizara ya afya, na alikuwa kati ya waziri bingwa wa porojo, uongo na propaganda nyingi, lakini kazi sifuri...
5 Reactions
4 Replies
353 Views
Muda wote akiwa mbunge na waziri wa Ardhi wala hakujisumbua kujishughulisha na maendeleo ya Jimbo lake Sasa dakika za jioni anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda. Jimbo la Ilemela Lina...
2 Reactions
4 Replies
355 Views
Binafsi naona watz tuna discipline lkn kwa upande wa uwoga sina uhakika wewe unasemaje
2 Reactions
5 Replies
185 Views
Habari! Hapa tunazungumzia PesaX, FiniLoan na kadhalika. Hizi ni online platforms ambazo zinajinadi kuwa zinakopesha pesa. Vigezo vyake huwa ni namba au kitambulisho cha NIDA, leseni ya udereva...
0 Reactions
5 Replies
591 Views
Kumekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika nafasi mbalimbali Serikalini. Lakini wananchi wamekuwa wakiwashangaa wanarudishwa katika nafasi walizoondolewa kutokana na uadilifu au uwezo wa...
2 Reactions
6 Replies
318 Views
Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
3 Reactions
18 Replies
794 Views
Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake. Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa...
12 Reactions
73 Replies
2K Views
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
42 Reactions
189 Replies
6K Views
YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Hello! Najua mtasema nina roho mbaya, mara roho ya kichawi. Hapana. Niko fiti, nina upendo wote wa Kimungu. Kwanini nifurahi ninapoona kijana wa Kitanzania msomi kwa mjinga wakipata taabu katika...
12 Reactions
50 Replies
1K Views
Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu. USSR
0 Reactions
14 Replies
699 Views
Habari wakuu, Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi). Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo...
12 Reactions
134 Replies
5K Views
Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika Pia, soma Wana Kigoma embu jengeni kwenu Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
4 Reactions
21 Replies
938 Views
Back
Top Bottom