Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Niliyemuona ni Mimi peke yangu tu au? Sasa kama ana ya kuandika ADC wake na Wasaidizi wake wana Kazi gani? ANGALIZO Nimesema kuna Mtu na wala sijamtaja Jina, sasa Wewe jipendekeze au...
0 Reactions
9 Replies
382 Views
Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa kweli Kisa cha Yakobo na Esau nduguye ni Moja ya visa vibaya Kabisa, vyenye kusisimua na kusikitisha. Kisa cha utapeli Mkubwa na umwagaji wa damu...
5 Reactions
7 Replies
724 Views
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti. 2. Unaanza kujitokeza na kuondoka...
5 Reactions
9 Replies
491 Views
ukitaka kujua raia wengi uelewa na utambuzi uko chini sana angalia mtu ana tatizo la kiafya lakini akifika hospital anamuita mtu wa utawala daktari yaani mtu yuko mapokezi ila anaitwa daktari au...
1 Reactions
6 Replies
232 Views
Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema...
2 Reactions
4 Replies
218 Views
Sijui ndoto zina maanisha nini, ila nikiwa mdogo Sana, nadhani darasa la tano au sita niliota ndoto mbaya sana kwenye maisha yangu. Nililia usiku kucha, asubuhi mama akanipa rosari na bibi akanipa...
1 Reactions
4 Replies
419 Views
Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni...
15 Reactions
81 Replies
3K Views
HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Kuna usemi maarufu wa kilevi chenye kimea aina ya Safari laga. Maji rangi ya mende. Maji ya Ilala moja. Unasema SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE. Sasa hapa ni tofauti hapa ni uzi mmoja huazisha...
98 Reactions
952 Replies
141K Views
Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu hili inanishangaza Sana kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi kali kutoboa pua na masikio matobo mengi. Hata Kama mnapendeza ila mimi gorogo nitakuchakata tu na kukuacha manake...
9 Reactions
153 Replies
11K Views
Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X...
8 Reactions
62 Replies
2K Views
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi. 'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
10 Reactions
60 Replies
930 Views
Dar Es Salaam– Tangu DP World ilipoanzishwa kubadilisha uendeshaji wa bandari ya Dar Es Salaam, tunafurahi kutangaza kuboreshwa kwa ufanisi wa bandari. Jitihada za DP World kuboresha na kuongeza...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni...
1 Reactions
5 Replies
323 Views
Wakuu Kwema! Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani...
15 Reactions
96 Replies
13K Views
Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna...
1 Reactions
0 Replies
198 Views
Back
Top Bottom