Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia...
5 Reactions
7 Replies
289 Views
Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato...
3 Reactions
9 Replies
330 Views
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka hali ya kizungumkuti katika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia eneo lililokuwa la uwanja wa mpira Panga ambalo ni la umma kuchimbwa msingi ikidaiwa kuwa Serikali...
1 Reactions
9 Replies
822 Views
Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini.... Okee okee,sawa mie ni...
46 Reactions
203 Replies
3K Views
Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali...
16 Reactions
73 Replies
2K Views
Mchango wenu wakuu, ukiacha mavyeti na passport sina chengine cha maana kama vile pesa ya kujikimu uko ughaibuni, je nauliza nikipata full funded scholarship naweza kuingia nchi za ulaya? au ndo...
0 Reactions
6 Replies
239 Views
Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko Nambari 1 Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema...
26 Reactions
103 Replies
5K Views
Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na...
2 Reactions
9 Replies
478 Views
Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM Ila leo nmefahamu kua ni huzuni Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi...
0 Reactions
12 Replies
498 Views
Wakuu Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss...
15 Reactions
56 Replies
3K Views
Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo...
2 Reactions
11 Replies
451 Views
Msimamo wa Ligi kuu ya #NBCPremierLeague baada Ya mchezo mmoja wa Leo FT |Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
2 Reactions
8 Replies
515 Views
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali tafadhali huyu mtu anavuka mipaka. Hata kama ni mtu wenu Serikalini lakini amekuwa akidhalilisha Wanawake mara nyingi na hakuna hatua yoyote mnachukua...
2 Reactions
14 Replies
499 Views
Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni solicitor general. awali aliteuliwa akavuruga ofisi, akawa anahamisha alioona wanamzidi uwezo na uzoefu kazini, Magufuli akajajua alilishwa tango pori, akatumbua. Ofisi kama hizo kinachomatter...
1 Reactions
2 Replies
310 Views
Long time nimekuwa mbali kidogo na nyumbani, sasa nimeamua kuja kupumzika kidogo nyumbani, aisee watanzania ni wafupi mno utadhani vitoto vidogo, kila ninaemuangalia nakaona kama katoto, vimwili...
12 Reactions
182 Replies
19K Views
Habari wakuu, Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini...
2 Reactions
4 Replies
217 Views
Back
Top Bottom