Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani...
12 Reactions
202 Replies
14K Views
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Zaidi ya Taarifa za Anwani za Makazi 400,000 zinatarajiwa kuhakikiwa katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Arusha katika zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi...
0 Reactions
2 Replies
295 Views
Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Najiuliza, kama himaya fulani inajiita nchi, ina Rais, nk. Ni kwanini haina sarafu yake?
1 Reactions
8 Replies
213 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana huku akisisitiza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida kwa ajili ya kuongeza ufanisi...
1 Reactions
7 Replies
402 Views
MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YANUFAISHA KIMASOMO WANAFUNZI 96 WALIOHITIMU Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir...
1 Reactions
0 Replies
248 Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
15 Reactions
411 Replies
10K Views
Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa! Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga! Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani...
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa...
3 Reactions
14 Replies
767 Views
Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Damu ya mtu ni ya thamani ila sio kila mtu anaona hivyo. Dunia ya waafrika ni kama jini kubwa linalosubiria kunywa damu pale mtu anapojichanganya kidogo kwa maana maisha ya mwafrika ni very...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Filosofia ya maisha ni mkusanyiko wa imani, maadili, na mitazamo ambayo mtu anayo kuhusu maisha, ulimwengu, na nafasi yake ndani yake. 1.Malezi na Mazingira: Familia, tamaduni, na jamii...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters Ministries Mkoa wa Mwanza wasotea madai yao kwa miezi mitatu bila mafanikio baada ya kufukuzwa kazi kwa madai ya Shirika alina uwezo wakuendelea kuwalipa...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu...
4 Reactions
16 Replies
458 Views
Moja kwa moja kwenye mada: Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu...
10 Reactions
146 Replies
4K Views
Back
Top Bottom