Toka jana mchana kila nikicreate account kupitia enidaonline kujaza form online sijafanikwa naombeni nitumie browser gani? Wakuru maana uku mtandao hauleti chochote.
Barua hii inaonesha kulikuwa maelezo ya Bernard H. Konga kuachia nafasi hiyo yametoka mapema, kama jamaa wa JF aliyesema teuzi zinakuja kutondoa kwenye reli kwenye suala la binti wa yombo na...
Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote.
Angalizo.
Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita.
Imeisha hiyo......!!
Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu.
Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge...
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo (wengine kupitia Baba zao)...
Maelezo ya Tatizo:
Ndugu wanajamii, napenda kufichua tatizo kubwa linaloendelea hapa Mbezi Beach-Jogoo barabara ya Kerai (kwa Mzee Temu) ambapo baa moja imekuwa ikipiga muziki mkubwa mno usiku...
Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila imesema kumpoteza mpendwa wao huenda baadhi ya miradi ikayumba hususan ya mabasi huku ikisisitiza imejipanga...
Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo...
Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill...
Wakuu,
Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika.
Kufikia jana imetoka taarifa...
Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki...
Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma.
Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei...
Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro...
NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO
ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God...
Habari wanaJamiiForums. Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima tulionao. Pili nishukuru kwa jukwaa hili ambalo linatupa fursa ya kutema nyongo zetu kwa usalama.
Kwa yeyote kati yetu ambaye ameshawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.