Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kutoa na Kupokea Biblia inasema nini kuhusu kutoa Biblia inatutia moyo kutoa kwa hiari na kwa nia nzuri. Inaonesha kwamba kutoa kwa njia hiyo kunamnufaisha anayepokea na anayetoa pia. (Methali...
3 Reactions
1 Replies
295 Views
Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas...
3 Reactions
8 Replies
833 Views
Bangi ni zao jema. Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake. Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili. Inashangaza...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Hii habari nimeiona wasafi. Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!! Kwanza ncheke😂😂😂😂 Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo...
9 Reactions
42 Replies
1K Views
Vijana wa kata ya kalobe wamejikuta katika hali ya mshangao baada ya uwanja wao wa mazoezi kufanywa njia mbadala ya kupitia magari na vyombo vingine. Hali hii imewafanya vijana awa kushindwa...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu...
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Mtoto Ashfaki Abimu (5) mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam, amekutwa amefariki dunia katika eneo ya Mbagala Kibonde Maji ndani ya jumba bovu, baada ya kupotea kwa takribani siku tatu...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Karibia week nzima kila nikituma pesa mara inakubali mara inakataa mara huku inaonyesha muamala umeshindikana, ukituma tena unajikuta umetuma mara mbili. Huu ujinga unakera Sana saaana Tigo...
3 Reactions
11 Replies
307 Views
Afya ya akili inaonekana kuwa tatzio ndio maana imekuwa tatizo kubwa duniani tena kwa nchi ambazo mfano Tanzania wakisingiziwa na CCM kuwa nchi yao ni wapole na wapenda amani. Wanaokumbuka Y2K...
4 Reactions
1 Replies
258 Views
Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza. Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo...
3 Reactions
101 Replies
3K Views
Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea...
9 Reactions
8 Replies
302 Views
Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
3 Reactions
9 Replies
601 Views
➡️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi. ✅ Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil. Klabu ya KMC FC...
0 Reactions
5 Replies
410 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Mtu mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Raphael Keneth Ndamahnwa mlinzi wa kanisa Katoliki parokia ya watakatifu wote lililopo Nzuguni B kwaajili ya...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Kikubwa ni kuwa Jasiri tu katika lolote unalopitia Muda huu. Kuna wakati mtu unaweza kupita kwenye changamoto kubwa sana na ukawa huoni wapi utatokea. Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna lenye...
4 Reactions
13 Replies
314 Views
Aisee tangu niko shule ya msingi Juhudi iliyopo ukonga magereza nasoma mpaka nimemaliza elimu uchwara za Bongo na kuingia mtaani hadi sasa nikiwa na miaka 27 hawa watu majina yao ni mheshimiwa...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Taarifa za kiwanda cha kusafishia mafuta cha Dangote kilichoajiri Wahindi 11,000 kwa sasa zinavuma kwenye mitandao ya kijamii huku Wanigeria wengi wakieleza kusikitishwa kwao na jambo hilo.Kwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari JF, Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko...
5 Reactions
76 Replies
4K Views
Back
Top Bottom