Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi.
Ujenzi wa Daraja la...
Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi?
---
Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka...
Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa...
Channel Ten- Saa 2.30 Usiku (Saa Mbili na Nusu Usiku) Leo hii Jumatano Tar 14/08/2024
Karibuni sana kutizama Makala maalum ya Maji ni Uhai- ambayo inaangaza kazi ambazo zinaendelea kufanyika...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuja na mkakati wa kudhibiti wizi wa Mita za Maji baada ya kueleza kuwa kumekuwa na...
Sijafanya utafiti rasmi, sina takwimu sahihi lakini , Tangu mwaka huu uanze Kuna ajali nyingi sana ila ndodo ndogo, kiasi Cha kuleta hofu kwa upande wangu.
Kwa experience yangu barabarani ya...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Queen Sendiga amewakaribisha rasmi wanafunzi 110 wanaoanza kidato cha tano katika Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Manyara iliyopo mjini Babati.
Katika...
Wakuu
Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi
Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa...
Hadi sasa mwaka huu 2024, watoa roho wakubwa walioongoza ni hawa:
1: Matatizo ya moyo
2: Stroke
3: Matatizo ya mapafu
4: Nimonia
5: Alzheimer na Dementia (kuathirika kwa akili na kazi zake...
Kuna tatizo sana la jeshi la polisi kwa upande wa ukamataji kama kutakuwa na kesi ukimbilia simu au kompyuta kwa sababu wanazojua wao.
Mapolisi wengi wana hii tabia na mwisho wa siku simu yako...
541: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama Justinian's plague huko maeneo ya mediterranean. Watu zaidi ya milioni 15 walifariki dunia.
1348: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama bubonic...
Habari wanazuoni, Leo Najaribu kutafakari juu ya;
👉Thamani ya mtu inajulikana kwa kiwango cha juhudi na ufanisi wake katika kazi,Pia tabia ya mtu na utu wake inaoneshwa vizuri zaidi kupitia jinsi...
Baada ya chanjo ya COVID-19 kutolewa nchini kwa mafanikio makubwa ambapo vifo vilipungua kufikia zero baada ya Serikali kuingiza nchini na kuhamasisha matumizi yake kuna janga lingine kwa majirani...
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa mradi wa kituo cha kimataifa cha kibiashara eneo la Ubungo upo mbioni kukamilika, ambapo amedai kwamba...
Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante)
Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25.
Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba...
Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024.
Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
Habari, ninamasikitiko kwa jinsi ya zoezi la interview linavyoendeshwa huko Arusha.
Kuna issue ya age limit 25 kwa diploma na degree 30,mfumo wa utumishi(ajira portal) umechuja kulingwna na age...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.