Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha...
Nimeteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi wa Mali za mama yangu mzazi mahakamani. Nilipoenda PSSSF nilichoelezwa ni kuwa kama mama alishastaafu na kupewa kiinua mgongo na kuwa amepokea zaidi ya miaka...
Saikolojia?
Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni.
Mihadarati?
Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya...
Leo Madaraka anatimiza miaka 64.
Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away).
Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada.
Madaraka ana predilection for going to...
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi...
Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili...
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa
Jamaa zetu walokole wamekuwa wakinijinasibu kuwa wameshikilia wokovu yaani wameokoka, leo ningependa watupe elimu hasa juu ya wanachokiita kuokoka baada ya...
Mkazi wa Lumala wilayani Ilemela mkoani Mwanza, Salma Abdallah (37), amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo na kusomewa shtaka la kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi...
Habari wakuu, heshima kwenu wakubwa kwa wadogo
Najua humu kuna watu wa kila aina wenye kufahamiana na watu wa kada mbalimbali mnaoweza kuwa msaada kwangu siku zijazo
Mimi ni mtanzania kutoka...
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania kimeandaa kongamano la Madereva wa Serikali litakalofanyika ukumbe wa AICC kuanzia Agosti 19-23, 2024 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atahuduria kama...
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, Baadhi ya abiria katika treni inayopita kijiji cha katambuke, kata ya Ugala, wilayani Nsimbo, mkoani Katavi wanadaiwa kurusha kurusha...
Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa...
Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA.
Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je, Serikali imeishiwa fedha?
Salam humu.
Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine.
Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti...
story fupi, tamu na yenye kufundisha[emoji45][emoji45] soma hadi mwisho [emoji116][emoji120]
Ni Kawaida Sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni pesa mbovu au pesa za...
Ni kawaida sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni, pesa mbovu au pesa za zamani. Yes, pesa hizi zinanunuliwa kulingana na thamani; mfano elfu 10 mbovu atakupatia elfu 8...
Jamaa angu kanitumia ujumbe na link kuwa ni bofye kuna kutumiana hela hadi kiwango cha 3,464,000
Hiyo link uki bofya inakupeleka hadi WhatsApp?
Anayejua undani wa hii kitu atujuze
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.
teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini...
Habari wakuu naombeni msaada wenu,
Nimeingia katika mfumo wa ticket online wa SGR lakini hakuna urahisi wakukata ticket kwa treni ya saa kumi na moja na nusu alfajiri.
Kuna njia mbadala wakupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.