Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia. Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo Sikiliza video. Mtangazaji yupo sawa au yeye...
6 Reactions
37 Replies
904 Views
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia. Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika...
9 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakenya wanastahili pongezi kwa hatua waliyofikia katika demokrasia. Lakini kama demokrasia ikiwa inakiuka maadiki ya Jamii husika, inakuwa ni ya hasara badala ya faida. Nionavyo, kwa sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Mie najiuliza kama serikali yetu sikivu inaweza kuwasilikilza Hospitali ya Aghakan/NHIF, wamachinga wa Kariakoo/TRA inashindwaje kuwasikiliza chadema? Ingewaacha hakuna mtu angejua kuna tukio la...
0 Reactions
1 Replies
152 Views
Kwa wale wenzangu tunaosafiri kuangalia familia na maisha ya hapa na pale. Ukienda kwa wenzetu unakuta nyumba ni tupu hakuna watu kabisa au mtaa wote kama wameondoka umebaki vichaka tu. Tuje...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
2 Reactions
12 Replies
687 Views
Nikianza na hawa mapolisi ambao kazi yao kubwa nikutishia Amani ya nchi kwa kukamata wanaoikosoa serikali na kutisha wapinzani kwa bunduki, wana maisha ya kutupwa jalalani. Ukipita kwenye Kota zao...
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama...
1 Reactions
5 Replies
182 Views
Habari zenu wakuu Bila kupoteza muda nilifikishe hili jambo kwenu ili mamlaka husika ifike pale na kuchukua hatua mara moja. Hospitali ya Amana ndogo iliyopo Dar es Salaam - Kivule, Chakenge kuna...
4 Reactions
13 Replies
544 Views
Putin huwa anadeal na wanyonge tu ila Hadi leo Alaska anajuta kwa nini lile eneo waliuziwa wamarekani na Russia enzi hizo kwa jinsi jamaa alivyokuwa na tamaa Usa angekuwa mnyonge angeshalichukua...
1 Reactions
0 Replies
156 Views
BILIONI 4.14 ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilipokea fedha jumla ya Shilingi Bilioni 4.14 (Tsh. 4,140,000,000) kutoka Serikali...
1 Reactions
0 Replies
226 Views
Wakubwa shikamoni , wadogo marahaba. Siku moja miaka 21 iliyopita asubuhi nikiwa nimepumzika chini ya mti uliokuwa jirani na msikiti mmoja Moshi mjini baada ya kupata kahawa ya asubuhi...
1 Reactions
2 Replies
290 Views
Chadema mlipoipotezea ifanye siasa zake ndio mliifanya watu waendelee na kazi zao hata umaarudfu ulianza kupungua ila hii kamata kamata mara mnawapiga ndio mnawarudisha rasmi kupata wafuasi na...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Jioni nimepita zaidi ya vituo vitatu vya kuuzia mafuta mitaa ya kigamboni wanasema hakuna mafuta.Naweza kupata mafuta mtaa kwa huku kigamboni. Msaada please
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Hapo Kuna Siri gani au uhusiano gani? Tangu nipo Shule za secondary, nikikuta mwanamke anatumia mkono wa kushoto basi utakuta huyo kwao ni Kilimanjaro au origin yake ni Kilimanjaro. Nimefika vyuo...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
18 Reactions
186 Replies
7K Views
Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani. Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge. Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia...
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Najua nasemea wengi 70% ya Watanzania ni chini ya miaka 25. Mpaka 35 itakuwa karibu 85%. Kumekuwa na utamaduni wa vijana kuombaomba pesa kila siku nimevumilia lakini inabidi niseme ukweli...
77 Reactions
116 Replies
29K Views
Back
Top Bottom